-
Rais mpya wa Gambia azidi kuandamwa na mashinikizo
May 28, 2017 06:56Matatizo na mashinikizo yamezidi kumwandama rais mpya wa Gambia kutokana na kushindwa kutangaza makamu wake.
-
Gambia yazuia mali za Jammeh, zikiwemo dola milioni 50 alizopora
May 23, 2017 07:48Serikali ya Gambia imezuilia mali zinazomilikiwa na rais wa zamani wa nchi hiyo Yahya Jammeh, zikiwemo akaunti 86 za benki na majumba ya kifahari 131.
-
Wagambia kuchagua bunge leo baada ya utawala wa miaka 22 wa Jammeh
Apr 06, 2017 03:20Wananchi wa Gambia leo tarehe 6 Aprili wanatarajiwa kuelekea kwenye masanduku ya kupigia kura kwa shabaha ya kuchagua wawakilishi wao katika Bunge la nchi hiyo.
-
Wananchi wa Gambia kuwachagua wabunge baada ya miaka 22 ya utawala wa kidikteta
Apr 05, 2017 04:11Wananchi wa Gambia huko magharibi mwa Afrika wanatazamia kuelekea kwenye masanduku ya kupigia kura kwa ajili ya kuwachagua wawakilishi wao wa bunge baada ya kupita miaka 22 ya utawala wa kidikteta wa Yahya Jammeh.
-
Gambia kuunda tume ya ukweli na maridhiano
Mar 24, 2017 04:31Serikali ya Gambia imetangaza kuwa itaunda tume ya ukweli na maridhiano na kuwalipa fidia waathirika wa jinai zilizofanywa na serikali ya aliyekuwa rais wa nchi hiyo Yahya Jammeh inayotuhumiwa kuwatesa na kuwaua watu walioshukiwa kuwa wapinzani wa serikali hiyo.
-
Wanajeshi waliopanga mapinduzi dhidi ya Jammeh wajiunga na jeshi la Gambia
Mar 05, 2017 16:27Rais Adama Barrow wa Gambia amekubali kujiunga na jeshi wanajeshi wa zamani waliotuhumiwa kupanga mapinduzi dhidi ya aliyekuwa rais wa nchi hiyo Yahya Jammeh.
-
Rais wa Gambia arejea Senegal, afanya mazunguzo na Macky Sall
Mar 03, 2017 06:35Rais Adama Barrow wa Senegal yuko nchini Senegal katika ziara rasmi ya kikazi iliyoanza jana Alkhamisi.
-
UN: Tutashirikiana na Gambia kuwashughulikia waliotenda jinai enzi za utawala wa Jammeh
Mar 02, 2017 07:52Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, uko tayari kushirikiana na serikali mpya ya Gambia katika masuala ya kimahakama na haki za binadamu.
-
Rais Barrow amfuta kazi mkuu wa jeshi Gambia na makanda 10
Feb 28, 2017 07:24Rais Adama Barrow wa Gambia amempiga kalamu nyekundu Mkuu wa Jeshi la nchi hiyo, Jenerali Ousman Badjie, pamoja na makamanda wengine 10 wa ngazi za juu wa vikosi vya usalama nchini humo.
-
Usafishaji idara ya usalama nchini Gambia, hatua ya kwanza ya Rais Adama Barrow
Feb 23, 2017 03:04Sambamba na kuanza rasmi kazi yake, Rais mpya wa Gambia ametekeleza hatua muhimu katika kuimarisha usalama wa nchi hiyo.