-
Maelfu ya Wagambia wajitokeza kwa wingi kumuunga mkono Rais Barrow
Feb 19, 2017 02:42Maelfu ya raia wa Gambia wamejitokeza kwa wingi katika kongamano kubwa lililofanyika jana katika mji mkuu wa nchi hiyo Banjul katika kumuunga mkono Rais Adama Barrow wa nchi hiyo.
-
Jumamosi, Februari 18, 2017
Feb 18, 2017 04:42Leo ni Jumamosi tarehe 20 Mfunguo Nane Jamad al-Awwal 1438 Hijria mwafaka na tarehe 18 Februari 2017 Miladia.
-
Gambia yatengua uamuzi wa kujiondoa mahakama ya ICC
Feb 15, 2017 03:34Gambia imetengua uamuzi wa kujiondoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).
-
EU: Tutaipatia Gambia msaada wa Euro milioni 75 ili kujidhaminia chakula
Feb 10, 2017 04:26Neven Mimica, Kamishna wa Ushirikiano na Ustawi wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa, umoja huo utaisaidia serikali ya Gambia msaada wa kiasi cha Euro milioni 75.
-
Barrow: Vikosi vya kieneo kusalia Gambia kwa miezi mitatu zaidi
Feb 09, 2017 07:23Vikosi vya kieneo vya mgharibi mwa Afrika vilivyotumwa nchini Gambia kuhakikisha usalama katika mchakato wa kushika madaraka serikali mpya ya nchi hiyo, vitasalia nchini humo kwa muda wa miezi mitatu zaidi.
-
Wanajeshi wa Nigeria waliotumwa Gambia kurejea nyumbani karibuni
Feb 03, 2017 07:38Askari wa jeshi la Nigeria waliokuwa wametumwa nchini Gambia ili kuhakikisha usalama katika mchakato wa kushika madaraka serikali mpya ya nchi hiyo wanatazamiwa kurejea nchini mwao hivi karibuni.
-
Rais Barrow arejea Gambia, ataka kikosi cha kieneo kibakie nchini miezi 6
Jan 26, 2017 14:08Rais mpya wa Gambia Adama Barrow amerejea nchini kwake leo Alkhamisi akitokea nchi jirani ya Senegal, ambayo alilazimika kuigeuza kimbilio lake tangu Januari 15, akihofia usalama wake.
-
Equatorial Guinea yaafiki kumpa hifadhi Yahya Jammeh
Jan 25, 2017 14:55Viongozi wa Equatoria Guinea wametangaza kuwa wamekubali kumpa hifadhi Rais wa zamani wa Gambia.
-
Rais mpya wa Gambia atoa amri ya kuchunguzwa faili la wizi dhidi ya Jammeh
Jan 25, 2017 02:59Rais mpya wa Gambia ametoa amri ya kufuatiliwa na kufunguliwa faili dhidi ya rais aliyeondoka madaraka wa nchi hiyo, Yahya Jammeh kwa kosa la kutoroka na fedha za umma.
-
Rais Barrow atangaza makamu wake mwanamke akiwa Senegal
Jan 24, 2017 06:34Rais mpya wa Gambia Adama Barrow amemteua kiongozi wa wanawake wa muungano wa upinzani uliomsaidia kuingia madarakani, kuwa makamu wake.