-
Barrow: Askari wa ECOWAS kuendelea kusimamia amani Gambia
Jan 23, 2017 14:54Rais mpya wa Gambia, Adama Barrow amewataka askari wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Magharibi mwa Afrika ECOWAS, kusalia nchini humo kwa lengo la kusimamia usalama na amani.
-
Fahamu maslahi ya Senegal katika kufanikisha mabadiliko ya uongozi nchini Gambia
Jan 23, 2017 09:13Sambamba na Senegal kutatua mgogoro wa kisiasa nchini Gambia na kufanikisha mabadiliko ya uongozi nchini humo, lakini inaonekana kuwa katika kufanya hivyo serikali ya Dakar pia ilikuwa ikizingatia maslahi yake katika uwanja huo.
-
Jammeh wa Gambia hakupewa kinga ya kutoshtakiwa
Jan 23, 2017 08:29Viongozi wa nchi za Afrika Magharibi hawakuafiki kupewa kinga ya kutoshtakiwa aliyekuwa rais wa Gambia Yahya Jammeh wakati wa mazungumzo ya kumshawishi mtawala huyo wa miaka mingi kwenda uhamishoni baada ya kushindwa katika uchaguzi.
-
Taasisi za kimataifa zatangaza kuwa tayari kuwasaidia wakimbizi wa Gambia
Jan 21, 2017 13:49Mashirika ya kimataifa ya misaada ya kibinadamu yameelekeza nguvu zao kwenye kuwasaidia wakimbizi wa Gambia ambao katika wiki za hivi karibuni wamekimbilia nchi jirani kuokoa maisha yao.
-
Gambia yasubiri rais mpya kuiongoza nchi
Jan 21, 2017 13:23Hatimaye baada ya nchi kadhaa za magharibi mwa Afrika kutuma wanajeshi wake huko Gambia, Yahya Jammeh ametangaza kuondoka madarakani katika fursa ya mwisho.
-
Rais wa Kenya atoa wito wa kupatiwa ufumbuzi mgogoro wa Gambia kwa njia za amani
Jan 21, 2017 07:59Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametoa wito wa kupatiwa ufumbuzi mgogoro wa Gambia kwa njia za amani.
-
Barrow: Yahya Jammeh amekubali kuondoka madarakani Gambia
Jan 21, 2017 04:42Rais Yahya Jammeh wa Gambia amekubali kuondoka madarakani kumpisha rais mpya Adama Barrow.
-
Jammeh apewa muhula aondoke Gambia la sivyo majeshi ya kigeni yatamtimua
Jan 20, 2017 07:36Wanajeshi wa nchi za Afrika Maghairbi wamesimamisha operesheni yao ya kumuondoa madarakani Rais Yahya Jammeh wa Gambia na kumpa fursa ya kuondoka kwa heshima kupitia mazungumzo.
-
Rais Yahya Jammeh wa Gambia akubali kukabidhi madaraka
Jan 20, 2017 04:25Baada ya kutokea mivutano mikubwa ya kisiasa, hatimaye Rais Yahya Jammeh wa Gambia amekubali kuondoka madarakani.
-
Baraza la Usalama laitisha mkutano wa dharura kuhusu Gambia, taharuki yatanda nchini humo
Jan 19, 2017 08:05Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linatazamiwa kufanya mkutano wa dharura hii leo kuhusiana na mgogoro wa kisiasa na kunukia machafuko ya umwagikaji damu nchini Gambia.