-
Rais Yahya Jammeh wa Gambia akubali kukabidhi madaraka
Jan 20, 2017 00:55Baada ya kutokea mivutano mikubwa ya kisiasa, hatimaye Rais Yahya Jammeh wa Gambia amekubali kuondoka madarakani.
-
Baraza la Usalama laitisha mkutano wa dharura kuhusu Gambia, taharuki yatanda nchini humo
Jan 19, 2017 04:35Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linatazamiwa kufanya mkutano wa dharura hii leo kuhusiana na mgogoro wa kisiasa na kunukia machafuko ya umwagikaji damu nchini Gambia.
-
Rais mpya wa Gambia aapishwa; Jammeh ang'ang'ania madaraka
Jan 19, 2017 11:02Adama Barrow ameapishwa na kuwa Rais mpya wa Gambia huku Yahya Jammeh aliyetawala nchi hiyo kwa miaka 22 aking'ang'ania madaraka ya nchi.
-
Mgogoro wa Gambia waingia awamu mpya, Nigeria yatuma majeshi kukabiliana na Jammeh
Jan 19, 2017 01:51Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa limetuma askari 200 na ndege kadhaa za kivita katika nchi jirani na Gambia ya Senegal kwa ajili ya kutatua mgogorowa uongozi uliosababishwa na uchaguzi wa rais nchini Gambia.
-
Bunge la Gambia lamuongezea Jammeh miezi 3, Nigeria yatuma manowari
Jan 18, 2017 13:10Bunge la Taifa la Gambia limepasisha azimio la kumruhusu Rais Yahya Jammeh wa nchi hiyo asalie madarakani kwa miezi mitatu zaidi katika hali ambayo muda wake wa kuhudumu unaelekea kumalizika.
-
Juhudi za kufanyika makabidhiano ya madaraka kwa njia ya amani nchini Gambia
Jan 18, 2017 10:01Katika kuendelea mgogoro wa kisiasa nchini Gambia, Rais Yahya Jammeh wa nchi hiyo sanjari na kulaani uingiliaji wa kigeni katika mambo ya ndani ya nchi hiyo, ametangaza hali ya hatari nchini humo.
-
Morocco: Jammeh astaafu baada ya kumalizika muda wake wa urais
Jan 18, 2017 04:00Serikali ya Morocco imemtaka Rais Yahya Jammeh wa Gambia atumie fursa iliyopo kustaafu kwa amani baada ya kumalizika muhula wake wa uongozi.
-
Rais Yahya Jammeh atangaza hali ya hatari Gambia
Jan 18, 2017 00:41Rais Yahya Jammeh wa Gambia ametangaza hali ya hatari nchini humo kwa siku 90 akiashiria kuingiliwa na nchi ajinabi uchaguzi wa rais wa nchi hiyo uliofanyika mwezi Disemba mwaka jana.
-
Barrow ataka sherehe za kuapishwa kwake zifanyike kama ilivyopangwa, Gambia
Jan 18, 2017 00:40Rais mteule wa Gambia amesema kuwa, sherehe za kuapishwa kwake kama rais mpya wa nchi hiyo zinapaswa kufanyika kama ilivyopangwa.
-
Nchi za Afrika Magharibi kumuondoa Jammeh madarakani kwa nguvu, Gambia
Jan 17, 2017 11:40Nigeria na nchi kadhaa za Afrika Magharibi zinapanga kutuma majeshi nchini Gambia kumuondoa madarakani Rais Yahya Jammeh iwapo hatakabidhi madaraka kama ilivyopangwa.