-
Jumatano, 18 Januari, 2023
Jan 18, 2023 02:25Leo ni Jumatano tarehe 25 Mfunguo Tisa Jamadithani 1444 Hijria, sawa na tarehe 18 Janauri 2023 Miladia.
-
Iran yapinga kutumiwa vibaya haki za binadamu kwa malengo ya kibeberu
Mar 03, 2022 12:52Naibu wa Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa ambaye pia ni Katibu wa Kamati ya Haki za Binadamu ya Iran amesema kuwa, Tehran inapinga vikali kutumiwa vibaya suala la haki za binadamu.
-
Kufeli na kumalizika bila natija mazungumzo ya amani ya Libya mjini Geneva
Jul 04, 2021 10:04Katika hali ambayo jitihada za kuleta amani na usalama wa kudumu na kuitishwa uchaguzi wa haki utakaoyashirikisha makundi yote ya kisiasa zinaendelea, taarifa iliyotolewa hivi karibuni kuhusu Libya si ya kufurahisha hata kidogo.
-
Iran yakanusha madai yasiyo na msingi kuhusu haki za binadamu
Sep 30, 2020 07:14Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva, Baghaei Hamane amesema madai yaliyotolewa na baadhi ya nchi za Magharibi kuhusu haki za binadamu Iran hayana ukweli wala ushahidi wenye mashiko.
-
Jumatano, Mei 8, 2019
May 08, 2019 01:22Leo ni Jumatano tarehe Pili Ramadhani 1440 Hijria inayosadifiana na tarehe 8 Mei 2019 Milaadia
-
Waalgeria waandamana hadi hospitali alikolazwa Bouteflika nchini Uswisi
Mar 09, 2019 04:22Waalgeria wanaoishi nchini Uswisi wamefanya maandamano ya kupinga msimamo wa Rais Abdelaziz Bouteflika wa kugombea tena urais kwa muhula wa tano.
-
Alkhamisi, 10 Januari, 2019
Jan 10, 2019 02:50Leo ni Alkhamisi tarehe 3 Jamadithani 1440 Hijria sawa na Januri 10, mwaka 2019.
-
Mazungumzo ya Iran, Russia na Uturuki kuhusu katiba ya Syria
Dec 18, 2018 07:36Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran leo ameelekea Geneva, Uswisi kwa lengo la kushiriki katika kikao cha pande tatu kuhusu katiba ya Syria
-
IPU yapiga marufuku mijadala kuhusu ushoga na usagaji
Oct 18, 2018 15:29Kikao cha 139 cha Jumuiya ya Kimataifa ya Mabunge (IPU) kimepiga kura kuunga mkono hoja ya kutaka kupiga marufuku mijadala inayohusu masuala ya ushoga na usagaji.
-
Russia: Iran iko kihalali nchini Syria na sisi tunaliheshimu hilo
Aug 25, 2018 02:20Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergei Ryabkov amesema kuwa nchi yake inaheshimu uwepo wa Iran nchini Syria kwani iko huko kihalali na kwa mwaliko wa serikali halali ya nchi hiyo.