-
Shambulio la Utawala wa Kizayuni Dhidi ya Msafara wa Meli wa Sumud; Mijibizo, Jumbe na Matokeo Yake
May 02, 2026 17:01Wanajeshi wa Kizayuni kwa mara nyingine tena wameushambulia msafara wa Sumud wa meli za kimataifa na kuzuia kupelekwa misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Ghaza uliowekewa mzingiro na utawala wa kizayuni wa Israel.
-
Ripota Maalumu wa UN ataka Israel iwajibishwe kwa kukamata meli za Samood Frotila
May 02, 2026 07:31Francesca Albanese, Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Maeneo ya Palestina Yanayokaliwa kwa Mabavu, ametoa wito kwa Ulaya kuchukua hatua za haraka baada ya utawala ghasibu wa Israel kuzuia na kukamata meli za misaada ya kibinadamu zinazojulikana kama Samood Flotilla zilizokuwa zikielekea Ukanda wa Gaza huko Palestina kwa ajili ya kuvunja mzingio wa kikatili wa utawala huo.
-
Vyombo vya habari vya Kizayuni: Jina la Netanyahu ni "Shetani" kwa wengi duniani
Apr 30, 2026 10:14Chombo cha habari cha Kizayuni kimechambua kuporomoka kwa nafasi ya utawala wa Israel duniani na kubadilika fikra za umma kuhusu utawala huo.
-
Kinachovifanya vyama vya Kiislamu vya Pakistan vipinge nchi hiyo kuwemo kwenye 'Bodi ya Amani' ya Trump
Feb 19, 2026 23:55Shinikizo la kisiasa la vyama vikuu vyenye mielekeo ya Kiislamu nchini Pakistan kwa serikali ya nchi hiyo la kuitaka ijiondoe katika kile kiitwacho 'Bodi ya Amani' ya Trump limeongezeka.
-
Katika upeo wa unyama, Israel imetumia silaha 'zilizoyeyusha' maelfu ya Wapalestina Ghaza
Feb 11, 2026 23:02Uchunguzi uliofanywa na televisheni ya Al Jazeera ya Qatar umefichua kuwa, utawala wa kizayuni wa Israel umetumia silaha zilizopigwa marufuku kimataifa zenye joto kupindukia katika vita vya mauaji ya kimbari huko Ghaza, na kupelekea "kuyeyuka" maelfu ya miili ya Wapalestina.
-
Euro-Med Monitor: EU ni mshiriki wa mauaji ya kimbari Gaza
Feb 06, 2026 02:53Shirika la kutetea haki za binadamu la Euro-Mediteranean Human Rights Monitor (Euro-Med Monitor) lenye makao yake makuu huko Geneva, Uswisi limekosoa vikali msimamo wa Umoja wa Ulaya kwa kuweka masharti yasiyotekelezeka kwa ajili ya ujenzi mpya wa Gaza.
-
Maelfu waandamana kote Ulaya kuunga mkono Palestina, kulaani ukatili wa Israel
Feb 01, 2026 07:02Waelfu kwa maelfu ya watu wamejitokeza mitaani katika nchi kadhaa za Ulaya kushiriki maandamano ya kuunga mkono Palestina, huku wakiushutumu utawala wa Israel kwa kukiuka mara kwa mara makubaliano ya kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza kati yake na Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas.
-
Bodi ya Amani ya Gaza, jaribio la Trump la kudhoofisha Umoja wa Mataifa
Jan 25, 2026 00:38Tangazo la Marekani la kuunda Bodi ya Amani ya Gaza limeibua wasiwasi mkubwa kuhusu jaribio la Trump la kudhoofisha Umoja wa Mataifa, sambamba na kupeleka mbele ajenda yake binafsi ya kupenda jaha na kujipanua kisiasa.
-
Kamati ya Wateknokrati wa kuendesha Ghaza kukutana kwa kikao cha kwanza mjini Cairo, Misri
Jan 15, 2026 06:58Mipango inaendelea kupangwa kuhakikisha wajumbe wa kamati ya wateknokrati iliyoteuliwa kuendesha masuala ya Ghaza kusafiri hadi Misri kwa mkutano wake wa kwanza, uliotarajiwa kufanyika leo Alkhamisi au kesho Ijumaa. Hayo ni kwa mujibu wa chanzo kimoja cha habari cha Palestina.
-
Gaza: Mtihani kwa Dhamiri ya Ulimwengu katika mwaka 2026
Jan 10, 2026 02:48Makala yetu ya wiki inazungumzia hali ya Ukanda wa Gaza ambapo watu wanataabika kutokana na mafuriko, mvua kubwa, nyumba zilizobomoka, na uhaba mkubwa wa chakula na maji ya kunywa katika majira ya msimu wa baridi kali baada ya miaka mingi ya vita na uharibifu unaofanywa na utawala wa Israel.