Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ghaza

  • Iran yazionya Marekani na Israel juu ya 'matokeo hasi makali' endapo jinai za kivita zitaendelea Gaza

    Iran yazionya Marekani na Israel juu ya 'matokeo hasi makali' endapo jinai za kivita zitaendelea Gaza

    Nov 28, 2023 09:52

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amezionya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel kwamba zitakabiliwa na "matokeo hasi makali" iwapo zitashindwa kukomesha kikamilifu uhalifu wa kivita katika Ukanda wa Gaza uliofanywa wakati wa vita vya mauaji ya halaiki dhidi ya eneo Palestina lililowekewa mzingiro.

  • Al Jazeera: Vita vya Gaza vinaweza kuwa mwanzo wa kuporomoka, lakini si kwa Wapalestina

    Al Jazeera: Vita vya Gaza vinaweza kuwa mwanzo wa kuporomoka, lakini si kwa Wapalestina

    Nov 27, 2023 23:02

    Mchambuzi mmoja maarufu wa televisheni ya Al Jazeera ya Qatar amesema kuwa, kama tunataka kuvichambua vita vya Gaza kwa kuzingatia matukio ya hivi karibuni, inatosha kwetu kuangalia siku nne kabla ya kufanyika operesheni ya #Kimbunga_cha_al-Aqsa na kabla ya HAMAS kushambulia maeneo ya kusini mwa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.

  • EU yazidi kuandamwa na lawama kwa msimamo wake wa upendeleo katika kadhia ya Gaza

    EU yazidi kuandamwa na lawama kwa msimamo wake wa upendeleo katika kadhia ya Gaza

    Nov 22, 2023 00:01

    Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya ametahadharisha kuwa umoja huo unakabiliwa na chuki zinazoongezeka katika Ulimwengu wa Kiislamu na nje yake kutokana na shutuma za kuegemea upande wa utawala wa Kizayuni wa Israel na kuwa na misimamo ya undumilakuwili kuhusiana na Vita vya Gaza.

  • Ukosolewaji mkali wa undumakuwili wa Magharibi kuhusu kadhia ya Israel na Wapalestina

    Ukosolewaji mkali wa undumakuwili wa Magharibi kuhusu kadhia ya Israel na Wapalestina

    Nov 21, 2023 03:42

    Waziri Mkuu wa Ireland, Leo Varadkar amekosoa vikali undumilakuwili wa nchi za Magharibi na kusema kuwa Umoja wa Ulaya na madola ya Magharibi yanashughulikia masuala yanayohusiana na Israel na Palestina kwa undumilakuwili wa wazi.

  • Mbunge wa Kizayuni: Kuuliwa watoto Gaza ni jinai

    Mbunge wa Kizayuni: Kuuliwa watoto Gaza ni jinai

    Nov 19, 2023 03:16

    Mbunge wa utawala wa Kizayuni ameyataja mauaji ya watoto na wanawake wasio na hatia katika Ukanda wa Ghaza yanayofanywa na jeshi la utawala huo kuwa ni jinai.

  • Azimio la Baraza la Usalama kuhusu vita vya Gaza: Makubaliano ya kiwango cha chini

    Azimio la Baraza la Usalama kuhusu vita vya Gaza: Makubaliano ya kiwango cha chini

    Nov 16, 2023 23:47

    Uzembe wa Umoja wa Mataifa na hasa mkwamo katika Baraza la Usalama la umoja huo ambao una jukumu muhimu la kulinda amani na usalama wa kimataifa, kuhusu vita vya Gaza, jinai za kivita na mauaji ya kimbari ya Wapalestina yanayofanywa na utawala wa Kizayuni, umekosolewa vikali kimataifa.

  • SEPAH: Jinai za Wazayuni haziwezi kuzuia ushindi wa Wapalestina; Iran imejiandaa kwa hali zote

    SEPAH: Jinai za Wazayuni haziwezi kuzuia ushindi wa Wapalestina; Iran imejiandaa kwa hali zote

    Nov 13, 2023 23:05

    Kamanda wa Kikosi cha Anga za Mbali cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amesema kuwa, kamwe jinai za utawala wa Kizayuni haziwezi kuzuia ushindi wa Wapalestina, na pia Marekani itambuwe kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ina nguvu kubwa na hakuna mtu anayeweza kuliteteresha taifa la Iran kwa vitisho vyake.

  • Kuadhibiwa waungaji mkono wa Palestina katika vyuo vikuu vya Marekani

    Kuadhibiwa waungaji mkono wa Palestina katika vyuo vikuu vya Marekani

    Nov 12, 2023 23:17

    Licha ya madai ya kuheshimiwa uhuru wa kujieleza katika nchi za Magharibi ikiwemo Marekani, lakini ukweli wa mambo ni kwamba kuna mistari miekundu katika uwanja huo, likiwemo suala la kutetea kadhia ya Palestina, ambapo waungaji mkono wa taifa hilo linalodhulumiwa hukabiliwa na vikwazo vya aina mbalimbali vikiwemo vya kuadhibiwa na kufungwa jela.

  • Maafisa zaidi ya 1,000 wa serikali ya Marekani wamwandikia barua Biden kumtaka akomeshe jinai za Wazayuni

    Maafisa zaidi ya 1,000 wa serikali ya Marekani wamwandikia barua Biden kumtaka akomeshe jinai za Wazayuni

    Nov 12, 2023 03:24

    Wafanyakazi zaidi ya elfu moja wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani wamesaini barua ya wazi na kumpelekea rais wa nchi hiyo Joe Biden kumtaka asimamishe jinai na mashambulizi ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza na kusitishwa vita haraka katika Ukanda huo.

  • Kuongezeka hasira za kimataifa kuhusu jinai za utawala wa Kizayuni huko Gaza

    Kuongezeka hasira za kimataifa kuhusu jinai za utawala wa Kizayuni huko Gaza

    Nov 11, 2023 23:37

    Sambamba na kuendelea vitendo vya jinai vya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza, ambavyo hadi sasa vimepelekea kuuawa shahidi zaidi ya Wapalestina elfu 11 na kujeruhiwa wengine zaidi ya elfu 27, hasira na ukosoaji wa kimataifa unaendelea kuongezeka kwa kadiri kwamba mbali na maandamano makubwa yanayofanyika katika pambe tofauti za dunia, baadhi ya wanasiasa wa Magharib pia wanaukosoa utawala huo kutokana na ukatili wake wa kutisha dhidi ya Wapalestina wasio na hatia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS