Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ghaza

  • Rais wa Algeria aagiza kuanzishwa daraja la angani la misaada kwa ajili ya Gaza

    Rais wa Algeria aagiza kuanzishwa daraja la angani la misaada kwa ajili ya Gaza

    Oct 22, 2023 22:53

    Rais wa Algeria ameagiza kuanzishwa daraja la angani kwa ajili ya kutuma misaada ya kibinadamu Ukanda wa Gaza kupitia kivuko cha Rafah.

  • Rwanda yapeleka misaada ya kibinadamu Ukanda wa Gaza

    Rwanda yapeleka misaada ya kibinadamu Ukanda wa Gaza

    Oct 22, 2023 02:56

    Rwanda imetuma misaada ya kibinadamu Ukanda wa Gaza, kuonyesha mshikamano na wananchi wa Palestina waliohasiriwa na kujeruhiwa katika mashambulio ya kinyama ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya eneo hilo.

  • Uungaji mkono wa pamoja wa Serikali na wananchi wa mataifa ya Kiislamu kwa Palestina

    Uungaji mkono wa pamoja wa Serikali na wananchi wa mataifa ya Kiislamu kwa Palestina

    Oct 21, 2023 02:46

    Moja ya matunda muhimu yaliyopatikana kutokana na jinai za kinyama na za kutisha zilizofanywa, na zinazoendelea kufanywa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina ni kujitokeza msimamo na mwafaka wa pamoja wa Serikali na wananchi wa mataifa ya Kiislamu katika kuiunga mkono Palestina.

  • Wasiwasi wa kimataifa kuhusu mgogoro wa kibinadamu Ukanda wa Ghaza

    Wasiwasi wa kimataifa kuhusu mgogoro wa kibinadamu Ukanda wa Ghaza

    Oct 19, 2023 23:07

    Shambulio la utawala wa Kizayuni katika hospitali huko katika Ukanda wa Ghaza limelaaniwa na pande mbalimbali kimataifa.

  • Kikao kisichokuwa na natija cha Baraza la Usalama: Marekani yapinga usitishaji mapigano Gaza

    Kikao kisichokuwa na natija cha Baraza la Usalama: Marekani yapinga usitishaji mapigano Gaza

    Oct 19, 2023 07:20

    Jumatano, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilikataa tena azimio la kusitisha mapigano huko Gaza kufuatia upinzani wa Marekani. Marekani ilipinga azimio lililopendekezwa kwa Baraza la Usalama na Brazil, lililotaka kusitishwa mapigano ili kufikishwa misaada ya kibinadamu Ghaza.

  • Iran na Tunisia zafanya mazungumzo ya namna ya kuwasaidia wananchi wa Ghaza

    Iran na Tunisia zafanya mazungumzo ya namna ya kuwasaidia wananchi wa Ghaza

    Oct 19, 2023 02:36

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo na waziri mwenzake wa mambo ya nje wa Tunisia mjini Jeddah, Saudi Arabia na pande mbili zimejadiliana njia za kuwasaidia wananchi wa Ghaza na kukomesha jinai za utawala wa Kizayuni.

  • Abdollahian: Sera za Marekani zinachochea moto wa vita Gaza

    Abdollahian: Sera za Marekani zinachochea moto wa vita Gaza

    Oct 17, 2023 10:05

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema sera haribifu za Washington na uungaji mkono wake kwa hatua ya utawala wa Kizayuni ya kuwashambulia raia katika Ukanda wa Gaza ndiyo sababu kuu ya kushadidi na kupanuka vita katika eneo hilo la pwani ambalo liko chini ya mzingiro.

  • Balozi wa Israel atimuliwa Colombia kulalamikia jinai za Wazayuni Ukanda wa Ghaza

    Balozi wa Israel atimuliwa Colombia kulalamikia jinai za Wazayuni Ukanda wa Ghaza

    Oct 17, 2023 02:32

    Duru mbalimbali za habari zimetangaza usiku wa kuamkia leo Jumanne kwamba, nchi ya Colombia ya Amerika ya Latini imemtimua balozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel ikiwa ni kulalamikia jinai za utawala huo dhidi ya wananchi wasio na ulinzi wa Ghaza.

  • Wazayuni waendeleza jinai dhidi ya Wapalestina, jamii ya kimataifa yaonya

    Wazayuni waendeleza jinai dhidi ya Wapalestina, jamii ya kimataifa yaonya

    Oct 14, 2023 10:06

    Taasisi na asasi mbalimbali za kimataifa zinaendelea kulaani mpango wa kikatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani wa kutaka kuwahamisha kwa nguvu wananchi wa kaskazini mwa Ukanda wa Ghaza.

  • Msimamo wa China unaokinzana na Wazayuni kuhusu mgogoro wa Gaza

    Msimamo wa China unaokinzana na Wazayuni kuhusu mgogoro wa Gaza

    Oct 14, 2023 04:11

    Tangu siku za mwanzo kabisa za shambulio la kasi ya radi la Hamas dhidi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu, msimamo wa China kuhusu suala hilo haukuziridhisha Marekani na Wazayuni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS