-
Marekani yaziuzia nchi za Kiarabu silaha za zaidi ya dola bilioni 33
Sep 17, 2016 23:19Serikali ya Marekani imeziuzia nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi silaha zenye thamani ya zaidi ya bilioni 33 tangu mwaka 2014 hadi leo hii.
-
Boroujerdi: Kuimarishwa uhusiano wa Iran na nchi za Ghuba ya Uajemi kunasaidia kudhamini amani ya eneo
Aug 20, 2016 03:24Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Sera za Nje ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge) amesema kuimarishwa uhusiano wa pande mbili baina ya Iran na nchi za eneo la Ghuba ya Uajemi kunasaidia kudhamini amani ya eneo.
-
Iran itazamisha meli za kivita za Marekani ikitishiwa
May 10, 2016 23:47Kamanda katika Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran IRGC ameonya kuwa jeshi hilo linaweza kuzamisha meli za kivita za Marekani iwapo zitakuwa tishio kwa nchi hii.
-
Iran kuendelea na mazoezi ya kijeshi
May 08, 2016 00:15Waziri wa Ulinzi wa Iran Brigedia Jenerali Hussein Dehqan amesema Jamhuri ya Kiislamu haioni kizingiti chochote katika kufanya mazoezi ndani ya maji yake katika Ghuba ya Uajemi.
-
Iran yalalamikia uingiliaji wa Marekani katika Ghuba ya Uajemi
May 04, 2016 23:33Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani uingiliaji wa hivi karibuni wa Marekani katika masuala ya usalama wa Ghuba ya Uajemi.
-
Iran: Uwepo wa US katika Ghuba ya Uajemi unasababisha ukosefu wa usalama
May 04, 2016 10:03Ofisa mwandamizi wa jeshi la majini la Iran amesema uwepo wa majeshi ya Marekani katika Ghuba ya Uajemi na Bahari ya Oman unapania kusababisha ukosefu wa usalama na kueneza harakati za kigaidi katika eneo.
-
Siku ya Taifa ya Ghuba ya Uajemi; kuulinda ukweli wa kudumu wa historia
May 01, 2016 03:45Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi kingine cha Makala ya Wiki ambayo kwa wiki hii ninaianza kwa utangulizi ufuatao.