• Hadithi ya Uongofu (104)

    Hadithi ya Uongofu (104)

    Jan 16, 2018 13:34

    Ni wasaa na wakati mwingine wa kujiunga nami katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Kipindi chetu kilichopita kilizungumzia suala la kususiana, kutosemeshana au kununiana na kuhasimiana yaani kukosa kuwa na ushirikiano.

  • Hadidhi ya Uongofu (103)

    Hadidhi ya Uongofu (103)

    Jan 16, 2018 13:18

    Assalaamu Alaykum Wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Wiki iliyopita tulijadili moja ya tabia mbaya za kimaadili nayo hatua ya mtu kumuwekea kinyongo mwenzake.

  • Hadithi ya Uongofu (102)

    Hadithi ya Uongofu (102)

    Jan 16, 2018 12:00

    Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu.

  • Hadithi ya Uongofu (101)

    Hadithi ya Uongofu (101)

    Jan 09, 2018 11:53

    Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Kipindi chetu cha juma lililopita kilizungumzia suala la kiburi na namna ya kujiepusha na tabia hii mbaya ya kimaadili. Tulisema kuwa, kiburi ni hisia ya mtu kujiona kuwa yeye ni mbora kuliko watu wengine. Kiburi kinajulikana pia kuwa ni hali ya kutakabari, kuwa na majivuno na kuwaona watu wengine si lolote si chochote.

  • Hadithi ya Uongofu (100)

    Hadithi ya Uongofu (100)

    Jan 07, 2018 07:50

    Ni wasaa na wakati mwingine mpenzi msikilizaji wa kujiunga nami katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Kipindi chetu cha juma lililopita kilizungumzia suala la kuwa na izza, heshima na utukufu.

  • Hadithi ya Uongofu (98)

    Hadithi ya Uongofu (98)

    Dec 03, 2017 04:45

    Ni wasaa na wakati mwingine wapenzi wasikilizaji mnapokutana nami Salum Bendera katika mfululizo wa kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu, kipindi ambacho hujadili masuala mbalimbali ya kijamii, kimaadili, kidini na kadhalika na kukunukulieni baadhi ya hadithi na miongozo kutoka kwa Bwana Mtume saw na Maimamu watoharifu as kuhusiana na maudhui hizo.

  • Hadithi ya Uongofu (97)

    Hadithi ya Uongofu (97)

    Nov 21, 2017 07:01

    Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu, kipindi ambacho hukujieni siku na wakati kama huu kutoka hapa Tehran, Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Hadithi ya Uongofu (95)

    Hadithi ya Uongofu (95)

    Nov 21, 2017 06:58

    Assalaamu alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu, kipindi ambacho hujadili maudhui mbalimbali za kijamii, kidini na kimaadili na kukunukulieni miongozo na hadithi kutoka kwa Bwana Mtume saw na Maimamu watoharifu as kuhusiana na maudhui hizo. Kama mnakumbuka kipindi chetu kilichopita kilijadili maudhui ya hasira na ghadhabu na kubainisha madhara ya jambo hilo.

  • Hadithi ya Uongofu (94)

    Hadithi ya Uongofu (94)

    Nov 21, 2017 06:54

    Ni wasaa na wakati mwingine wapenzi wasikilizaji wa kujiunga nami katika sehemu nyingine ya mfululizo wa kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Kipindi chetu kilichopita kilijadili na kuzungumzia suala la kulipiza kisasi na kuashiria miongozo ya Uislamu kuhusiana na jambo hilo.

  • Hadithi ya Uongofu (93)

    Hadithi ya Uongofu (93)

    Nov 21, 2017 06:51

    Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji popote pale yanapokufikieni matangazo haya ya Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na karibuni kujiunga nami tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Kipindi chetu kilichopita klilijadili maudhui ya msamaha na kusamehe katika Uislamu.