• Hamas yapongeza mataifa 80 kwa kulaani jinai za Israel huko Gaza

    Hamas yapongeza mataifa 80 kwa kulaani jinai za Israel huko Gaza

    May 23, 2025 11:56

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imekaribisha kwa mikono miwili taarifa ya pamoja iliyotolewa na nchi 80 duniani, zikisisitiza kwamba Gaza inakabiliwa na mzozo mbaya zaidi wa kibinadamu tangu kuanza kwa vita vya Israel Oktoba 7 mwaka 2023.

  • Hamas: Witkoff aliahidi kuondoa mzingiro wa Gaza mkabala wa kuachiwa Edan Alexander

    Hamas: Witkoff aliahidi kuondoa mzingiro wa Gaza mkabala wa kuachiwa Edan Alexander

    May 17, 2025 10:27

    Afisa mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas amesema kuwa, mjumbe maalumu wa Marekani Steve Witkoff alilihakikishia kundi hilo la Muqawama la Palestina kwamba, Washington itaishinikiza Israel kukomesha mzingiro wa Gaza na kuruhusu ufikishaji wa misaada ya kibinadamu ndani ya siku mbili baada ya kumwachilia huru mwanajeshi wa Israel, Edan Alexander, raia wa Marekani.

  • Hamas yamjibu Trump: Ghaza si bidhaa ya kupigwa mnada

    Hamas yamjibu Trump: Ghaza si bidhaa ya kupigwa mnada

    May 16, 2025 10:24

    Kiongozi mmoja wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amejibu matamshi ya kijuba ya rais wa Marekani, Donald Trump alielezea nia ya Washington ya kuuteka Ukanda wa Ghaza na eti kuugeuza kuwa eneo huru, akimwambia, Ghaza si bidhaa ya kupigwa mnada.

  • Mhariri Mkuu wa Middle East Eye: Harakati ya HAMAS katu haitasalimu amri

    Mhariri Mkuu wa Middle East Eye: Harakati ya HAMAS katu haitasalimu amri

    Apr 25, 2025 07:23

    David Hearst, Mhariri Mkuu wa tovuti ya habari ya Middle East Eye amesema, Muqawama ndio njia pekee iliyobaki kwa ajili ya kukomesha ughasibu na kukaliwa kwa mabavu ardhi za Palestina na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • HAMAS yalitolea wito Baraza Kuu la PLO: Vunjeni uhusiano wenu wa kiusalama na Israel

    HAMAS yalitolea wito Baraza Kuu la PLO: Vunjeni uhusiano wenu wa kiusalama na Israel

    Apr 24, 2025 04:13

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imelitaka Baraza Kuu la Harakati ya Ukombozi wa Palestina PLO livunje uhusiano wa uratibu wa kiusalama uliopo baina yake na utawala wa Kizayuni na kuchukua msimamo wa pamoja wa Palestina dhidi ya mauaji ya kinyama yanayoendelea huko Ghaza.

  • Palestina: Walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya chuki wanachochea Msikiti wa  Al-Aqsa uripuliwe

    Palestina: Walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya chuki wanachochea Msikiti wa Al-Aqsa uripuliwe

    Apr 20, 2025 05:33

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imetoa indhari kutokana na kuongezeka uchochezi unaofanywa na makundi ya walowezi wa Kizayuni wa mrengo wa kulia wanaotaka kubomolewa Msikiti wa Al-Aqsa ulioko Baitul-Muqaddas Mashariki inayokaliwa kwa mabavu.

  • HAMAS yakataa pendekezo la kuweka silaha chini

    HAMAS yakataa pendekezo la kuweka silaha chini

    Apr 17, 2025 12:40

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeripotiwa kupinga pendekezo la utawala haramu wa Israel la kusitisha vita kwa muda wa wiki sita katika Ukanda Gaza, sambamba na kulitaka kundi hilo la muqawama kuafiki kupokonywa silaha.

  • Hamas yaitisha maandamano ya 'mshikamano wa kimataifa' kulaani jinai za Israel Gaza

    Hamas yaitisha maandamano ya 'mshikamano wa kimataifa' kulaani jinai za Israel Gaza

    Apr 17, 2025 02:31

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imetoa wito wa dharura kwa watu wa dunia kushiriki kikamilifu katika maandamano ya wiki moja ya kushinikiza kusitishwa kwa kampeni ya kutisha ya Israel ya mauaji ya halaiki katika Ukanda wa Gaza.

  • Mkuu wa majeshi ya Israel akiri: Hamas haijashindwa vitani

    Mkuu wa majeshi ya Israel akiri: Hamas haijashindwa vitani

    Apr 15, 2025 07:30

    Mkuu mpya wa jeshi la Israel ameonya kuwa, vikosi vya jeshi la utawala huo wa Kizayuni vinakosa nguvu kazi na rasilimali za kutimiza malengo ya kujitanua ya utawala huo katika Ukanda wa Gaza uliozingirwa, na kusema kuwa Hamas inaendelea kuudhibiti ukanda huo, mwaka mmoja na nusu baada ya kuzuka kwa vita hivyo.

  • Hamas: Kila anayeweza ashike silaha kukabiliana na njama ya Trump kuhusu Gaza

    Hamas: Kila anayeweza ashike silaha kukabiliana na njama ya Trump kuhusu Gaza

    Apr 02, 2025 03:05

    Mjumbe wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema akizungumzia mpango wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kuwaondoa Wapalestina Ukanda wa Gaza kwamba: "Mtu yeyote anayeweza kushika silaha anapaswa kuchukua hatua katika uwanja huu."