Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

HAMAS

  • Makundi ya Muqawama Palestina: Marekani, Israel zimepata pigo kubwa UN

    Makundi ya Muqawama Palestina: Marekani, Israel zimepata pigo kubwa UN

    Dec 07, 2018 11:07

    Makundi ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina ya Hamas na Jihadu Islami yamesema kupigwa mweleka katika Baraza la Kuu la Umoja wa Mataifa muswada wa kuilaani Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) na kuitaja kama kundi la kigaidi ni pigo kubwa kwa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • HAMAS: Mamlaka ya Ndani ya haipaswi kuwa mtekelezaji wa mipango ya Wazayuni

    HAMAS: Mamlaka ya Ndani ya haipaswi kuwa mtekelezaji wa mipango ya Wazayuni

    Dec 06, 2018 10:01

    Mousa Abu Marzook, kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ameitaka Mamlaka ya Ndani ya Palestina kutokubali kufanywa chombo cha kutekeleza mipango ya Wazayuni.

  • Marekani inazishinikiza nchi za Kiarabu ziunge mkono azimio ililowasilisha UN dhidi ya HAMAS

    Marekani inazishinikiza nchi za Kiarabu ziunge mkono azimio ililowasilisha UN dhidi ya HAMAS

    Dec 05, 2018 13:00

    Imeripotiwa kuwa Marekani inazishinikiza nchi kadhaa za Kiarabu ziunge mkono rasimu ya azimio iliyolipendekeza Umoja wa Mataifa la kutaka Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ilaaniwe, ikiwa ni kuonyesha uungaji mkono kwa wimbi la mashambulio ya karibuni yaliyofanywa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya eneo uliloliwekea mzingiro la Ukanda wa Gaza.

  • Hamas yaiomba Afrika Kusini kusadia mapambano ya ukombozi ya Wapalestina

    Hamas yaiomba Afrika Kusini kusadia mapambano ya ukombozi ya Wapalestina

    Dec 04, 2018 11:15

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imeiomba Afrika Kusini izidishe uungaji mkono na misaada yake kwa taifa la Palestina katika mapambano yake ya ukombozi dhidi ya utawala haramu wa Israel.

  • HAMAS: UN inapaswa izime mpango wa njama ya Marekani dhidi ya Muqawama wa Palestina

    HAMAS: UN inapaswa izime mpango wa njama ya Marekani dhidi ya Muqawama wa Palestina

    Dec 03, 2018 12:06

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza kuwa inapasa Umoja wa Mataifa uzime mpango wa njama ya Marekani dhidi ya Muqawama wa Palestina .

  • HAMAS: Kuwa na uhusiano wa kawaida na Israel ni jinai na uhaini

    HAMAS: Kuwa na uhusiano wa kawaida na Israel ni jinai na uhaini

    Dec 01, 2018 04:42

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza kuwa, hatua ya baadhi ya nchi za Kiarabu ya kutaka kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel ni jinai.

  • HAMAS: Kuwa na uhusiano wa kawaida na Israel ni pigo kwa malengo matukufu ya Palestina

    HAMAS: Kuwa na uhusiano wa kawaida na Israel ni pigo kwa malengo matukufu ya Palestina

    Nov 25, 2018 01:01

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza kuwa, hatua ya baadhi ya nchi ya Kiarabu ya kutaka kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel ni pigo kwa taifa la Palestina.

  • Utawala wa Kizayuni: Mkuu wa Hamas Gaza atauawa karibuni katika operesheni ya kijeshi

    Utawala wa Kizayuni: Mkuu wa Hamas Gaza atauawa karibuni katika operesheni ya kijeshi

    Nov 23, 2018 01:23

    Waziri wa ujenzi wa vitongoji haramu, wa utawala wa Kizayuni wa Israel ametoa vitisho vya kuuawa kigaidi Yahya Sinwar, Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS katika Ukanda wa Gaza.

  • Lieberman: Hakuna anayeweza kuiangamiza Hamas kwa nguvu

    Lieberman: Hakuna anayeweza kuiangamiza Hamas kwa nguvu

    Nov 19, 2018 04:06

    Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni aliyejiuzulu amesema kuwa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas haiwezi kusambaratishwa huko Ghaza kwa kutumia nguvu za kijeshi.

  • Israel imesitisha vita kwa kuogopa makombora ya Hamas kushambulia mji wa Tel Aviv

    Israel imesitisha vita kwa kuogopa makombora ya Hamas kushambulia mji wa Tel Aviv

    Nov 16, 2018 04:24

    Waziri wa Masuala ya Kieneo wa Utawala Haramu wa Kizayuni amesema kuwa, Israel imekubali kusitisha vita kutokana na wasiwasi wake wa kushambuliwa na makombora ya muqawama wa Palestina mji mkuu wa utawala huo, Tel Aviv.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS