Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

HAMAS

  • Hamas: Silaha zetu ni mstari mwekundu, hazina mjadala

    Hamas: Silaha zetu ni mstari mwekundu, hazina mjadala

    Nov 28, 2017 04:07

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imepinga mwito wa kuitaka iweke chini silaha kama sehemu ya maridhiano ya kitaifa kati yake na harakati ya Fat'h.

  • Kiongozi wa HAMAS: Serikali ya Mamlaka ya Ndani inaandaa mazingira ya kuyavunja mapatano ya kitaifa ya Palestina

    Kiongozi wa HAMAS: Serikali ya Mamlaka ya Ndani inaandaa mazingira ya kuyavunja mapatano ya kitaifa ya Palestina

    Nov 15, 2017 11:56

    Mahmoud Az-Zahar, kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema masharti yanayotolewa na Mamlaka ya Ndani ya Palestina yanaandaa mazingira ya kuyavunja mapatano ya kitaifa yaliyofikiwa baina ya Wapalestina.

  • Hizbullah: Muqawama ndilo chaguo la pekee la Wapalestina

    Hizbullah: Muqawama ndilo chaguo la pekee la Wapalestina

    Nov 02, 2017 04:27

    Afisa wa ngazi ya juu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuna haja ya kuendeleza mapambano dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel na kusisitiza kuwa Wapalestina hawana chaguo jingine ghairi ya muqawama.

  • Ripoti: Abbas asema hatochagua mawaziri kutoka HAMAS kama hawatokubali kuitambua Israel

    Ripoti: Abbas asema hatochagua mawaziri kutoka HAMAS kama hawatokubali kuitambua Israel

    Oct 30, 2017 23:16

    Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameripotiwa amesema kuwa hatowachagua wanachama wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS kuwa mawaziri katika serikali yake endapo hawatokuwa tayari kutamka wazi na hadharani kuwa wanautambua utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.

  • Hamas yapinga ushirikiano wa kiusalama kati ya serikali ya Abbas na Israel

    Hamas yapinga ushirikiano wa kiusalama kati ya serikali ya Abbas na Israel

    Oct 28, 2017 23:35

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imepinga vikali kuanza tena ushirikiano wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina na utawala wa Kizayuni wa Israel katika masuala ya kiusalama.

  • Ismail Haniya: jaribio la Israel la kumuua afisa mkuu wa HAMAS limefeli

    Ismail Haniya: jaribio la Israel la kumuua afisa mkuu wa HAMAS limefeli

    Oct 28, 2017 04:34

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema utawala wa Kizayuni wa Israel ndio umehusika katika jaribio la mauaji lililofeli dhidi ya afisa wa ngazi ya juu wa harakati hiyo.

  • Naibu Mkuu wa HAMAS: Israel ndio

    Naibu Mkuu wa HAMAS: Israel ndio "Hatari Kuu"

    Oct 26, 2017 11:46

    Naibu Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amezitaka nchi na pande zote za eneo la Mashariki ya Kati zikubaliane na fikra kwamba utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ndio "Hatari Kuu".

  • HAMAS: Katu hatutautambua rasmi utawala haramu wa Israel

    HAMAS: Katu hatutautambua rasmi utawala haramu wa Israel

    Oct 23, 2017 04:31

    Naibu Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, harakati hiyo katu haitautambua utawala ghasibu wa Israel ambao umekuwa ukitenda jinai kila uchao dhidi ya wananchi wa Palestina.

  • Abu Zuhri: Kinachoipambanua Iran na nchi nyingine, ni uungaji mkono wake wa wazi kwa taifa la Palestina

    Abu Zuhri: Kinachoipambanua Iran na nchi nyingine, ni uungaji mkono wake wa wazi kwa taifa la Palestina

    Oct 22, 2017 04:08

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, jambo liloipambanua Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na nchi nyingine ni uungaji mkono wake wa wazi kwa malengo matukufu ya Palestina.

  • HAMAS yasisitiza kuimarishwa uhusiano wake na Iran

    HAMAS yasisitiza kuimarishwa uhusiano wake na Iran

    Oct 22, 2017 04:06

    Mkuu wa masuala ya kigeni wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, harakati hiyo ina hamu ya kustawisha uhusiano wake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika nyuga zote.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS