Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Hizbullah

  • Sayyid Nasrullah: Saudia ikomeshe mauaji Yemen kwa usalama wake

    Sayyid Nasrullah: Saudia ikomeshe mauaji Yemen kwa usalama wake

    Sep 21, 2019 03:30

    Katibu Mkuu wa Harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Lebanon (Hizbullah) amewaasa watawala wa Saudi Arabia wakomesha mashambulizi ya umwagaji damu nchini Yemen kwa maslahi ya taifa lao.

  • Hizbullah: Kombora letu jipya linaweza kusambaratisha manowari yoyote

    Hizbullah: Kombora letu jipya linaweza kusambaratisha manowari yoyote

    Sep 16, 2019 22:02

    Harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Lebanon (Hizbullah) imesema kombora lake jipya lenye uwezo wa kulenga shabaha kwa umakini mkubwa linaweza kuharibu aina yoyote ya manowari na meli za kijeshi.

  • Nguvu za Muqawama katika maneno na vitendo

    Nguvu za Muqawama katika maneno na vitendo

    Sep 11, 2019 02:39

    Mikwaruzano baina ya kambi ya muqawama na utawala wa Kizayuni wa Israel imezidi kuwa mikubwa katika miezi ya hivi karibuni huku makundi ya muqawama yakizidi kuonesha nguvu zao kupitia maneno na vitendo dhidi ya utawala huo pandikizi.

  • Bahrain yaukingia kifua tena utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Hizbullah ya Lebanon

    Bahrain yaukingia kifua tena utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Hizbullah ya Lebanon

    Sep 02, 2019 08:45

    Kwa mara nyingine tena aila ya Aal Khalifa inayotawala Bahrain imeutetea na kuunga mkono utawala wa Kizayuni wa Israel kufuatia kipigo cha ulipizaji kisasi ulichopata utawala huo haramu jana Jumapili kutoka kwa wanamapambano wa Muqawama wa Kiislamu wa Lebanon, Hizbullah.

  • Mafanikio na matokeo ya vita vya siku 33 kwa mtazamo wa Sayyid Hassan Nasrallah

    Mafanikio na matokeo ya vita vya siku 33 kwa mtazamo wa Sayyid Hassan Nasrallah

    Aug 18, 2019 03:53

    Sayyid Hassan Nasrallah Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Ijumaa alihutubu kwa mnasaba wa mwaka wa 13 wa ushindi katika vita vya siku 33 mwaka 2006.

  • Israel yatiwa kiwewe na nguvu za kijeshi za Hizbullah ya Lebanon

    Israel yatiwa kiwewe na nguvu za kijeshi za Hizbullah ya Lebanon

    Jul 19, 2019 01:56

    Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimetangaza habari ya kuchukuliwa hatua mpya na utawala huo ghasibu za kuimarisha ulinzi katika maeneo ya kiistratijia katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni kutokana na kuiogopa Harakati ya Mapambanao ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon.

  • Viongozi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon na Answarullah ya Yemen wakutana Beirut

    Viongozi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon na Answarullah ya Yemen wakutana Beirut

    Jul 11, 2019 00:05

    Viongozi kadhaa wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon na Answarullah ya Yemen wamekutana mjini Beirut, ambapo sambamba na kulaani kongamano la mjini Manama, Bahrain wamesisitizia umuhimu wa kudumishwa umoja na mshikamano wa Wapalestina kwa ajili ya kukabiliana na mradi huo wa Marekani na Israel.

  • Hizbullah ya Iraq: Uwepo wa askari wa kigeni ni tishio kwa usalama wa taifa na kwa majirani

    Hizbullah ya Iraq: Uwepo wa askari wa kigeni ni tishio kwa usalama wa taifa na kwa majirani

    Jun 20, 2019 07:15

    Kwa mara nyingine Harakati ya Hizbullah ya Iraq imesisitizia kuondoka askari magaidi wa Kimarakeni katika ardhi ya nchi hiyo kama njia ya kuimarisha uthabiti na usalama wa Iraq.

  • Hizbullah: Mashinikizo kuulenga muqawama daima hayatokuwa na natija yoyote

    Hizbullah: Mashinikizo kuulenga muqawama daima hayatokuwa na natija yoyote

    May 29, 2019 23:27

    Kaimu Mkuu wa Baraza la Utendaji la Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah nchini Lebanon sambamba na kubainisha kwamba Marekani na Israel kwa kushirikiana na baadhi ya nchi za eneo la Asia Magharibi zinaulenga mrengo wa muqawama kwa mashinikizo makali, amesisitiza kuwa hatua hizo hata kama zitaendelea daima, lakini hazitofikia natija.

  • Nasrallah: Wote wanawajibika kukabiliana na mpango wa 'Muamala wa Karne

    Nasrallah: Wote wanawajibika kukabiliana na mpango wa 'Muamala wa Karne"

    May 26, 2019 01:57

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema: "Wote wanawajibika kukabiliana na mpango wa Marekani wa "Muamala wa Karne" ambao lengo lake ni kusambaratisha kadhia ya Palestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS