-
Hizbullah: Saudia inagharamia jinai za Marekani na Israel Asia Magharibi
Apr 29, 2019 02:28Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon (Hizbullah) ameitaja Saudi Arabia kama mzizi wa ukosefu wa uthabiti katika eneo la Asia Magharibi, na kwamba utawala huo wa kifalme ndio unaofadhili na kugharamia jinai zinazofanywa na Marekani na utawala haramu wa Israel katika eneo.
-
Hizbullah: Marekani inabeba dhima ya chinja chinja ya Saudia
Apr 26, 2019 00:17Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon Hizbullah imelaani vikali kitendo cha utawala wa Aal-Saud cha kutekeleza hukumu ya kuwanyonga makumi ya Waislamu wa Kishia nchini Saudi Arabia na kusisitiza kuwa, jinai hizo za kihaini zilifanyika kwa baraka kamili na ushirikiano wa Marekani.
-
Hizbullah: Hatutorudi nyuma katika kuwalinda raia wa Lebanon kutokana na hujuma za Israel
Mar 25, 2019 03:29Naibu Mkuu wa Baraza la Utendaji la Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah nchini Lebanon amesisitiza kwamba muqawama huo hautoachana na majukumu ya kuwalinda raia wa Lebanon kutokana na hujuma za utawala katili wa Israel.
-
Hizbulllah: Njia pekee ya kuisambaratisha mipango ya Marekani ni muqawanma
Mar 16, 2019 11:32Sheikh Ali Damush, mjumbe wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, njia pekee ya kusambaratisha mipango ya Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati ni kuendeleza muqawama.
-
Marekani yakasirishwa na misimamo ya serikali ya Lebanon ya kuiunga mkono Hizbullah
Mar 10, 2019 23:09Duru za kidiplomasia zimearifu kuwa Marekani imekasirishwa na hairidhishwi na misimamo ya viongozi wa serikali ya Lebanon ya kuiunga mkono harakati ya muqawama ya nchi hiyo Hizbullah.
-
Saudia yapongeza kuwekwa Hizbullah katika orodha ya makundi ya kigaidi
Mar 05, 2019 11:07Saudi Arabia imeunga mkono na kupongeza hatua ya hivi karibuni ya Uingereza, ya kuiweka Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon katika jalada lake la makundi ya kigaidi.
-
Qassemi: Iran haiwaombi wengine ruhusa kuhusu masuala yake ya ndani na nje
Mar 04, 2019 10:48Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haikubali masharti na haiwaombi wengine ruhusa kuhusu masuala yake ya ndani ya nje.
-
Mogherini: EU haitatilia maanani uamuzi wa Uingereza dhidi ya Hizbullah
Feb 26, 2019 23:21Mkuu wa Sera za Kigeni katika Umoja wa Ulaya Federica Mogherini amesema umoja huo hautatilia maanani hatua ya Uingereza kuiwekea vikwazo Harakati ya Hizbullah ya Lebanon.
-
Hizbullah Iraq: Kuondoka Marekani syria ni ishara ya kushindwa Washington
Dec 22, 2018 21:39Harakati ya Hizbullah ya Iraq imetangaza kuwa, kuondoka kwa majeshi ya Marekani nchini Syria kuna maana ya kushindwa stratijia za jeshi la nchi hiyo.
-
Hizbullah: Israel itajuta iwapo itaivamia tena Lebanon
Dec 02, 2018 00:11Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imeonesha mkanda wa video ikiutahadharisha utawala haramu wa Israel kwamba, utajuta iwapo utaivamia ardhi ya Lebanon.