-
Sheikh Naim Qassem: Marekani haiwezi kurejesha tena ushawishi wake Mashariki ya Kati
Nov 30, 2018 11:40Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, ndoto za Marekani za kutaka kurejesha tena nguvu na ushawishi wake katika eneo la Mashariki ya Kati zitaambulia patupu.
-
Jeshi la Israel: Kuuawa Nasrullah kutatoa pigo kubwa kwa Hizbullah
Nov 27, 2018 04:12Kamanda wa ngazi za juu wa utawala wa Kizayuni wa Israel ametoa mwito wa kuuawa Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah akisisitiza kuwa, kuuawa kwake kutatoa pigo kubwa kwa harakati hiyo ya muqawama.
-
Lebanon yapinga matamshi ya kichochezi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa
Nov 02, 2018 23:25Rais wa Lebanon amesema kuwa sababu ya kuundwa harakati ya Hizbullah nchini humo ni uvamizi wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya ardhi ya Lebanon. Michel Aoun amesma hayo akijibu matamshi yaliyotolewa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Mataifa, Antonio Guterres aliyedai kuwa, Hizbullah inaielekeza Lebanon katika vita. Rais wa Lebanon amesisitiza kuwa nchi hiyo haiwezi kusahau historia yake.
-
'Israel inahaha mbele ya uwezo mkubwa wa kijeshi wa Hizbullah ya Lebanon'
Oct 19, 2018 21:39Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Kidemokrasia kwa ajili ya Ukombozi wa Palestina amesema kuwa, utawala haramu wa Kizayuni unahaha hivi sasa kutokana na uwezo mkubwa wa kijeshi wa Hizbullah ya Lebanon na hauthubutu kuanzisha vita vingine.
-
Jumanne tarehe 14 Agosti 2018
Aug 13, 2018 22:26Leo ni Jumanne tarehe Pili Mfunguo Tatu Dhulhija 1439 Hijria sawa na 14 Agosti 2018.
-
Vikwazo vya Marekani dhidi ya viongozi wa Hizbullah ya Lebanon
May 17, 2018 22:08Serikali ya Marekani imetangaza vikwazo vingine vipya, mara hii ikiwa ni dhidi ya viongozi waandamizi wa Hizbullah ya Lebanon akiwemo Katibu Mkuu wake Sayyid Hassan Nasrullah na naibu wake Sheikh Naeem Qassim.
-
Kuakisiwa ushindi wa mhimili wa muqawama katika uchaguzi wa bunge wa Lebanon na hotuba muhimu ya Sayyid Hassan Nasrullah
May 09, 2018 03:30Akizungumza katika hotuba yake ya kwanza baada kufanyika uchaguzi wa bunge wa Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon (Hizbullah) ameutaja uchaguzi huo kuwa mafaniko makubwa ya kitaifa kwa Lebanon.
-
Nasrullah: Israel imejichimbia kaburi kwa kuishambulia kijeshi Syria
Apr 14, 2018 03:09Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya nchini Lebanon amesema utawala wa Kizayuni wa Israel umefanya makosa makubwa zaidi kwa kuwashambulia wanajeshi wa Iran ulipolenga kituo cha anga cha Syria hivi karibuni.
-
Naim Qassem: Hizbullah iko tayari kujibu mashambulizi ya Israel
Mar 16, 2018 00:29Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, wanamapambano wa harakati hiyo wako tayari kukabiliana na shambulio lolote la kijeshi au chokochoko za utawala haramu wa Israel.
-
Hizbullah: Saudia na Marekani zinaingilia uchaguzi wa Lebanon
Mar 08, 2018 12:33Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa Saudi Arabia na Marekani zinakula njama ya kuingilia uchaguzi wa Bunge la nchi hiyo unaotazamiwa kufanyika mwezi Mei mwaka huu.