Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Hizbullah ya Lebanon

  • Sayyid Nasrullah ataka Lebanon iendelee kuagiza mafuta ya Iran

    Sayyid Nasrullah ataka Lebanon iendelee kuagiza mafuta ya Iran

    Oct 12, 2021 04:35

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amelitaka Baraza la Mawaziri la nchi hiyo ya Kiarabu liombe kufutiwa vikwazo vya kuagiza mafuta kutoka Iran ili yawasaidia wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran afanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran afanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon

    Oct 08, 2021 04:31

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon kuhusu matukio ya karibuni kabisa ya kisiasa ya nchi hiyo na eneo.

  • Hizbullah: Tuna haki ya kuvunja mzingiro wa Marekani dhidi ya Lebanon

    Hizbullah: Tuna haki ya kuvunja mzingiro wa Marekani dhidi ya Lebanon

    Oct 06, 2021 09:26

    Afisa wa ngazi ya juu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kundi hilo la muqawama lina haki ya kutumia njia zote halali kulilinda taifa la Lebanon, na kuvunja vikwazo na mzingiro wa Marekani dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Hizbullah: Mafuta ya Iran yamevunja mzingiro wa kiuchumi dhidi ya Lebanon

    Hizbullah: Mafuta ya Iran yamevunja mzingiro wa kiuchumi dhidi ya Lebanon

    Oct 04, 2021 22:52

    Mkuu wa Baraza la Utendaji la harakati ya Hizbullah nchini Lebanon amesema kuwa, kuingizwa Lebanon shehena ya mafuta kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kumevunja mzingiro wa kiuchumi dhidi ya Lebanon.

  • Naeem Qassem: Shehena za meli za mafuta za Iran ni mafanikio makubwa ya kisiasa dhidi ya dhulma za Marekani

    Naeem Qassem: Shehena za meli za mafuta za Iran ni mafanikio makubwa ya kisiasa dhidi ya dhulma za Marekani

    Sep 11, 2021 21:45

    Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa shehena za meli za mafuta za Iran zilizotumwa Lebanon kwa ajili ya kupunguza mzingiro wa Marekani dhidi ya nchi hiyo ni mafanikio ya kisiasa na kijamii mbele ya dhulma za serikali ya Washington na jinai zake dhidi ya wanadamu.

  • Hizbullah: Kutumwa meli ya mafuta ya Iran Lebanon ni mwanzo wa kuvunjwa mzingiro wa Marekani

    Hizbullah: Kutumwa meli ya mafuta ya Iran Lebanon ni mwanzo wa kuvunjwa mzingiro wa Marekani

    Sep 11, 2021 03:41

    Naibu Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema, "kwa kutumwa meli ya mafuta ya Iran tumeingia kwenye awamu ya kuvunja mzingiro wa Marekani."

  • Nasrallah: Makabiliano na utawala wa Kizayuni ni kipaumbele cha muqawama

    Nasrallah: Makabiliano na utawala wa Kizayuni ni kipaumbele cha muqawama

    Aug 19, 2021 11:12

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amehutubu kwa mnasaba wa Siku ya Ashura na kusema, 'kukabiliana na utawala wa Kizayuni ni kipaumbele cha harakati ya muqawama (mapambano ya Kiislamu)"

  • Nasrullah: Hizbullah ndio harakati yenye taathira kubwa zaidi ndani ya Lebanon

    Nasrullah: Hizbullah ndio harakati yenye taathira kubwa zaidi ndani ya Lebanon

    Aug 14, 2021 03:14

    Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, kwa sasa harakati ya Hizbullah ni nembo kubwa ya muqawama na ina taathira ya kustaajabisha kitaifa na pia kikanda.

  • "Muqawama wa Kiislamu utajibu hujuma zote za Israel dhidi ya Lebanon"

    Aug 13, 2021 08:33

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema utawala wa Kizayuni wa Israel unapaswa kufahamu kuwa, muqawama wa Kiislamu utatoa majibu kwa mashambulizi yote ya Tel Aviv dhidi ya Lebanon.

  • Matamshi ya Sayyid Nasrullah katika kumbukumbu ya mwaka wa 15 baada ya vita vya siku 33

    Matamshi ya Sayyid Nasrullah katika kumbukumbu ya mwaka wa 15 baada ya vita vya siku 33

    Aug 08, 2021 06:09

    Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon jioni ya Jumamosi ya jana alitoa hotuba muhimu kwa mnasaba wa kutimia mwaka wa 15 tangu baada ya vita vya siku 33 na utawala wa Kizayuni wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS