Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Hizbullah ya Lebanon

  • Woga wa Jeshi la Israel kuhusu uwezo wa makombora wa Hizbullah ya Lebanon

    Woga wa Jeshi la Israel kuhusu uwezo wa makombora wa Hizbullah ya Lebanon

    Sep 11, 2018 20:49

    Msemaji wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel amesema kuwa uwezo wa makombora wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon na nguvu yake ya kulenga kwa mapana katika maeneo mbalimbali ya Israel ni tishio kubwa sana.

  • Mkuu wa zamani wa Mossad akiri Israel haiwezi kukabiliana na teknolojia ya makombora ya Hizbullah

    Mkuu wa zamani wa Mossad akiri Israel haiwezi kukabiliana na teknolojia ya makombora ya Hizbullah

    Sep 08, 2018 21:51

    Naibu Mkuu wa zamani wa Shirika la Kijasusi la Utawala wa Kizayuni wa Israel, Mossad, amesema Harakati ya Hizbullah ya Lebanon hivi karibuni imepata mfumo mpya wa kuongoza makombora kwa kutegemea mfumo wa GPS na hivyo kubadilisha makombora yake kuwa yenye ustadi mkubwa.

  • Hizbullah: Kukombolewa Idlib kutapiku turufu ya mwisho ya Marekani, Israel na Saudia nchini Syria

    Hizbullah: Kukombolewa Idlib kutapiku turufu ya mwisho ya Marekani, Israel na Saudia nchini Syria

    Sep 03, 2018 03:24

    Naibu Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema, kukombolewa mkoa wa Idlib kaskazini magharibi mwa Syria ambayo ni ngome ya mwisho ya magaidi katika nchi hiyo litakuwa pigo kubwa kwa Magharibi, Marekani, utawala wa Kizayuni wa Israel na Saudi Arabia.

  • Syria yaitaka Hizbullah iendelee kubakia nchini humo

    Syria yaitaka Hizbullah iendelee kubakia nchini humo

    Aug 25, 2018 21:55

    Serikali ya Syria imeitaka Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanona iendelee kubakisha wapiganaji wake nchini humo, baada ya kumalizika mapigano ya kijeshi kaskazini mwa nchi.

  • Bashar al-Assad alilikataa pendekezo la Saudia la kujengwa upya Syria kwa kuvunja uhusiano na Iran na Hizbullah

    Bashar al-Assad alilikataa pendekezo la Saudia la kujengwa upya Syria kwa kuvunja uhusiano na Iran na Hizbullah

    Aug 22, 2018 21:09

    Mbunge wa harakati ya Hizbullah katika bunge la Lebanon amesema, rais wa Syria hakulikubali pendekezo la Saudi Arabia la kuijenga upya nchi hiyo mkabala wa Syria kuvunja uhusiano wake na Hizbullah na Iran.

  • Hizbullah kwa mara ya kwanza imezindua aina mbalimbali za makombora yake

    Hizbullah kwa mara ya kwanza imezindua aina mbalimbali za makombora yake

    Aug 19, 2018 10:51

    Harakati ya Hizbullah ya Lebanon kwa mara ya kwanza ilipanga kuzindua leo Jumapili sehemu ya makombora yaliyotumiwa na harakati hiyo ya muqawama wa Kiislamu kwa ajili ya kuilinda nchi hiyo katika miaka ya karibuni.

  • Hizbullah: Marekani imehusika katika jinai ya mauaji ya mji wa As-Suwayda, Syria

    Hizbullah: Marekani imehusika katika jinai ya mauaji ya mji wa As-Suwayda, Syria

    Jul 26, 2018 09:40

    Harakati ya Hizbullah nchini Lebanon imetoa taarifa ikisema kuwa, harakati za makundi ya kigaidi katika eneo la al-Tanf ni hatari kubwa na kwamba Marekani imeshiriki katika jinai kubwa dhidi ya raia wa mji wa As-Suwayda kusini mwa Syria.

  • Hizbullah yalaani sera mpya ya ubaguzi wa rangi ya utawala haramu wa Israel

    Hizbullah yalaani sera mpya ya ubaguzi wa rangi ya utawala haramu wa Israel

    Jul 21, 2018 02:52

    Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetoa taarifa kuhusu sheria mpya ya utawala wa Kizayuni wa Israel inayojulikana kama 'Nchi ya Kiyahudi' na kusema hiyo ni njama ya Kuyahudisha kikamilifu ardhi zote za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo.

  • Hizbullah: Shambulizi lolote la Israel dhidi ya Lebanon litajibiwa kwa kuteketeza eneo la Golan

    Hizbullah: Shambulizi lolote la Israel dhidi ya Lebanon litajibiwa kwa kuteketeza eneo la Golan

    Jul 03, 2018 03:05

    Harakati ya Hizbullah ya nchini Lebanon sambamba na kuashiria onyo kali lililotolewa na Ufaransa kwa utawala haramu wa Kizayuni, imesema kuwa chokochoko yoyote ya Israel itakayofanywa dhidi ya Lebanon, itapelekea kuteketezwa eneo la milima ya Golan inayodhibitiwa na Israel kwa sasa.

  • Hizbullah: Tuko imara zaidi hivi sasa kukabiliana na chokochoko zozote zile

    Hizbullah: Tuko imara zaidi hivi sasa kukabiliana na chokochoko zozote zile

    Jun 24, 2018 22:26

    Naibu wa Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, harakati hiyo ya Kiislamu iko imara zaidi hivi sasa kuliko wakati mwingine wowote na kuongeza kuwa, sasa hivi Lebanon ina usalama wa kiwango cha juu zaidi katika eneo hili kutokana na ushujaa na kujitoa muhanga wanamapambano wa Kiislamu katika kukabiliana na Israel na magenge ya wakufurishaji.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS