-
Hizbullah: Mipango yote ya Marekani, Israel na Saudia itafeli
Jun 16, 2018 21:03Mjumbe wa Baraza Kuu la harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Nabil Qaouk amesema kuwa, mipango ya pamoja ya Marekani, utawala haramu wa Israel na Saudi Arabia itaishia kushindwa.
-
Msuguano katika Uhusiano wa Ufaransa na Saudi Arabia
May 30, 2018 03:34Emmanuel Macron Rais wa Ufaransa amedai kuwa alikuwa na nafasi muhimu katika utatuzi wa mgogoro wa Lebanon mwaka jana. Aidha amefichua kuwa, Saudi Arabia ilikuwa imemkamata kwa wiki kadhaa Waziri Mkuu wa Lebanon Saad Hariri.
-
Hizbullah: Saudia inaumia kuiona harakati hii ikijumuishwa katika serikali mpya ya Lebanon
May 21, 2018 10:27Mjumbe wa Baraza Kuu la Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah, amesema kuwa viongozi wa utawala wa Aal-Saud wanaumia mno kuona harakati hiyo ikijumuishwa katika serikali mpya ya Lebanon na kwamba viongozi hao ni madhaifu sana kuweza kuizuia Hizbullah kuingia serikalini.
-
Sayyid Hassan Nasrullah: Ni ujinga wa hali ya juu kuiamini Marekani
May 14, 2018 12:55Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon ameashiria kitendo cha Marekani cha kuvunja mikataba na maazimio ya kimataifa na kusema kuwa, baada ya tajriba zote ambazo zimeshuhudiwa kwa Washington, ni ujinga wa hali ya juu kuiamini nchi hiyo.
-
Naeem Qassim: Hizbullah haitaweka chini silaha ila baada ya kuangamizwa Israel
Apr 28, 2018 11:43Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, harakati hiyo itakuwa tayari kuweka chini silaha pale tu itakapohakikisha utawala wa Kizayuni wa Israel umeangamizwa.
-
Israel yatishia kwamba huwenda mwaka huu 2018 itapigana vita kali na Hizbullah ya Lebanon
Apr 02, 2018 10:37Mkuu wa Jeshi la Utawala Haramu za Israel, Gadi Eizenkot amesema kuwa kuna uwezekano mkubwa utawala huo ukapigana vita vikali na angamizi kati yake na Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon.
-
Olmert: Tulishindwa na Hizbullah katika vita; ufisadi wa Netanyahu hautasawariki
Mar 17, 2018 00:51Waziri Mkuu wa zamani wa utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kwamba jeshi la utawala huo dhalimu lilishindwa na Hizbullah ya Lebanon katika vita vya mwaka 2006.
-
Hizbullah ya Lebanon: Quds itabakia milele kuwa mji mkuu wa Palestina
Mar 14, 2018 00:05Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa njia ya ufumbuzi wa kadhia ya Palestina haiko mikononi mwa Marekani, bali kinachopasa kufanywa ni kuzifuatilia jinai zinazotendwa na Marekani.
-
Hizbullah: Chimbuko la matatizo yote Mashariki ya Kati ni donda la saratani la Israel
Mar 05, 2018 00:33Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, chimbuko la matatizo yote katika nchi za Kiislamu na Kiarabu na hata kufukuzwa Wapalestina kutoka katika ardhi zao ni utawala ghasibu wa Israel.
-
Baada ya miaka 19 TV ya Al-Manar yaonyesha taswira ya kuangamizwa kamanda wa jeshi la Israel na Hizbullah
Mar 03, 2018 04:26Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimesema kuonyeshwa na kanali ya televisheni ya Al-Manar ya Lebanon taswira ya kuangamizwa kamanda mmoja wa jeshi la utawala huo miaka 19 iliyopita kunabeba ujumbe wa vita vya kinafsi na kisaikolojia vinavyoendeshwa na harakati ya Hizbullah dhidi ya Tel Aviv.