-
Hizbullah yasisitiza tena kwamba, itakabiliana vilivyo na uvamizi wa Wazayuni
Feb 20, 2018 00:52Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon kwa mara nyingine tena imesisitiza kwamba, itakabiliana vilivyo na uvamizi wa aina yoyote ile wa utawala haramu wa Israel dhidi ya ardhi ya Lebanon.
-
Sayyid Nasrullah alipongeza jeshi la Syria kwa kutungua ndege ya kivita ya Israel
Feb 17, 2018 03:56Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amelipongea jeshi la Syria kwa kutungua ndege ya kijeshi aina ya F-16 ya utawala haramu wa Israel na kuitaja hatua hiyo kuwa ni mafanikio makubwa ya kijeshi.
-
Hizbullah: Zama za Israel kufanya mashambulizi bila majibu zimepita
Feb 12, 2018 04:21Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, zile zama za utawala wa Kizayuni wa Israel kufanya mashambulizi na kuachiwa vivi hivi bila ya majibu zimeisha na kuanzia sasa shambulio lolote la Wazayuni litajibiwa vikali.
-
Hizbullah: Stratijia mpya ya kupambana na uvamizi wa Israel nchini Syria imeanza rasmi
Feb 11, 2018 04:14Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon imetoa taarifa ya kupongeza kitendo cha kuangamizwa ndege ya kisasa ya kivita ya utawala haramu wa Israel ya F16 katika anga ya Syria na kusisitiza kuwa, mlingano wa nguvu wa zamani sasa umebadilika.
-
Hizbullah yautahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel
Jan 30, 2018 23:52Harakati ya Hizbullah ya lebanon imeutahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel kupitia kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa kilichopo kusini mwa Lebanon (UNIFIL) kuhusu suala la kujenga ukuta wa kibaguzi katika mipaka na Lebanon.
-
Hizbullah: Tumejiandaa dhidi ya hatua mbaya zozote za Marekani
Jan 27, 2018 13:20Mwakilishi wa bunge na mjumbe wa ngazi ya juu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah nchini Lebanon amesema kuwa, safari ya hivi karibuni ya ujumbe wa Wizara ya Fedha ya Marekani mjini Beirut, ni ukiukaji wa mamlaka ya kujitawala ya Lebanon na kwamba Hizbullah imeshajiandaa kukabiliana na hatua mbaya zozote za Marekani dhidi yake.
-
Mtaalamu: Hizbullah itaibuka mshindi katika vita vyovyote na Israel
Jan 06, 2018 23:14Uwezo wa harakati ya Kiislamu ya Hizbullah nchini Lebanon katika nyuga tofauti zikiwemo za kijeshi, vita stadi na vita vya kisaikolojia umeutia kiwewe utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kiasi cha kuwafanya weledi wa masuala ya kivita kusema kwamba, vita vyovyote vitakavyojiri kati ya Israel na harakati hiyo, vitamalizika kwa ushindi wa Hizbullah.
-
Hizbullah: Kuvunjiwa heshima Quds ni matunda ya mchezo wa kudansi na upanga wa Trump na Salman
Jan 06, 2018 13:19Mjumbe wa Baraza Kuu la Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon, Sheikh Nabil Qaouk amezitaja siasa za Saudia kuwa za maafa na kuongeza kuwa, kitendo cha kuvunjiwa heshima mji wa Quds na msikiti wake kinatokana na mchezo wa kudansi na upanga wa Rais Donald Trump wa Marekani na Mfalme Salman bin Abdulaziz Al Saud wa Saudia.
-
Hizbullah: Mapambano ndio chaguo pekee la Wapalestina na Waislamu dhidi ya Marekani na Israel
Jan 01, 2018 00:51Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa, njia pekee ya Wapalestina na Waislamu kukabiliana na utawala haramu wa Israel na Marekani ni muqawama na mapambano dhidi ya tawala hizo.
-
Émile Lahoud: Iran na Hizbullah zimeifanya Israel ichanganyikiwe
Dec 29, 2017 12:13Rais wa zamani wa Lebanon, Émile Lahoud amesema kuwa nafasi na mchango muhimu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na harakati ya Hizbullah ya Lebanon vimeifanya Israel ichanganyikiwe sambamba na kuharibikiwa mahesabu yake yote katika eneo la Mashariki ya Kati.