-
Sheikh Nabil Qaouk: Kuiunga mkono Beitul-Muqaddas ni jukumu la Hizbullah
Dec 25, 2017 11:31Mjumbe wa Baraza Kuu la Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, kuiunga mkono Beitul-Muqaddas ni jukumu la harakati hiyo na kwamba, Hizbullah itaendelea kubakia mstari wa mbele katika kuwaunga mkono wananchi wa Palestina.
-
Hizbullah ya Lebanon yataka mgogoro wa Yemen upatiwe ufumbuzi wa kisiasa
Dec 21, 2017 04:02Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imetoa taarifa rasmi kwa mnasaba wa kutimia siku 1000 tangu kuanza hujuma na mashambulio ya kijeshi ya Saudia huko nchini Yemen na kutoa wito wa kutatuliwa mgogoro wa nchi hiyo kwa njia za kisiasa.
-
Hizbullah: Mapambano ndio njia pekee ya Wapalestina kupata ushindi
Dec 07, 2017 11:26Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, hatua ya Rais wa Marekani ya kuutangaza mji wa Baytul Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala haramu wa Israel, utakuwa ni msukumo kwa watu waliokuwa kando, lakini kwa sasa wanapaswa kuingia katika medani bila ya kisingizio chochote.
-
Kutofuata Misri siasa za Saudia dhidi ya Hizbullah ya Lebanon
Nov 09, 2017 10:07Rais wa Misri amesema kuwa licha ya Saudi Arabia kuzitaka nchi nyingine za Kiarabu kuiwekea vikwazo Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah, serikali ya Cairo haina mpango wowote wa kutekeleza vikwazo hivyo dhidi ya harakati hiyo.
-
Syria: Kamwe hatutaruhusu kushambuliwa Hizbullah ya Lebanon
Nov 08, 2017 11:43Mshauri wa Rais wa Syria amesisitiza kuwa, mahusiano ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Hizbullah na Syria ni ya kiwango cha juu na kusema Damascus kamwe haitaruhusu harakati hiyo ya Kiislamu ya Hizbullah ishambuliwe.
-
Israel yazitaka balozi zake kushirikiana zaidi na Saudia dhidi ya Hizbullah
Nov 07, 2017 11:06Utawala haramu wa Kizayuni na katika kulinda maslahi ya Saudi Arabia duniani dhidi ya haraki ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon, imetoa ujumbe kwa balozi zake kuhusiana na suala hilo.
-
Ansarullah ya Yemen: Saudi Arabia ipo katika kambi ya utawala haramu wa Israel
Oct 27, 2017 12:00Muhammad Abdul-Salaam, Msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, Saudi Arabia inataka kuiweka madarakani nchini Yemen serikali kibaraka.
-
Sheikh Naim Qassim utawala wa Kizayuni wa Israel utabakia kuwa ni adui
Oct 22, 2017 10:58Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel utaendelea kubakia kuwa ni adui siku zote.
-
Hizbullah: Saudia imeshindwa kuunda muungano wa kukabiliana na sisi
Oct 21, 2017 23:36Mjumbe wa Baraza Kuu la harakati ya Kiislamu ya Hizbullah nchini Lebanon amesema kuwa, matukio mapya katika eneo la Mashariki ya Kati yanajiri kwa maslahi ya muqawama, kama ambavyo yanapingana na mtazamo wa Marekani, Israel na Saudi Arabia.
-
Marekani, Israel na Saudia zinapanga njama ya kuizingira Hizbullah
Oct 09, 2017 23:38Gazeti moja la nchini Lebanon la al-Akhbar limeandika kuwa, hivi sasa Marekani, Saudia na Israel zinapanga njama kwa ajili ya kuidhibiti harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ili kuizuia isiweze kutumia uwezo wake katika vita vijavyo vya kuainisha hatima.