Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Hizbullah ya Lebanon

  • Hizbullah: Vita vya utawala wa kizayuni wa Israel dhidi ya kusini mwa Lebanon vingali vinaendelea

    Hizbullah: Vita vya utawala wa kizayuni wa Israel dhidi ya kusini mwa Lebanon vingali vinaendelea

    Oct 18, 2025 23:13

    Mbunge mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Lebanon Hizbullah amesisitiza kuwa, vita vya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya maeneo ya kusini mwa Lebanon vingali vinaendelea kwa malengo maalumu na kwa sura tofauti.

  • Sayyid Hassan Nasrullah; Tunu Adhimu ya Ulimwengu wa Kiislamu; Kumbukumbu ya kuuawa shahidi

    Sayyid Hassan Nasrullah; Tunu Adhimu ya Ulimwengu wa Kiislamu; Kumbukumbu ya kuuawa shahidi

    Oct 07, 2025 02:26

    Karibuni wasikilizaji wapendwa kutegea sikio kipindi hiki cha makala ya wiki tulichokuandalieni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kutimia mwaka mmoja tangu kuuawa shahidi Sayyid Hassan Nasrullah Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Lebanon Hizbullah, kuweni nami hadi tamati.

  • Je, nini hatima ya kuipokonya silaha Hizbullah ya Lebanon?

    Je, nini hatima ya kuipokonya silaha Hizbullah ya Lebanon?

    Aug 17, 2025 01:51

    Katika wiki za hivi karibuni, mpango wa kuipokonya silaha Hizbullah nchini Lebanon umewasilishwa kwa mashinikizo ya Marekani na uungaji mkono wa utawala ghasibu wa Israel.

  • UK yampokea kiongozi wa Polisario ikiwa imeiunga mkono Morocco katika mzozo wa Sahara

    UK yampokea kiongozi wa Polisario ikiwa imeiunga mkono Morocco katika mzozo wa Sahara

    Aug 09, 2025 23:06

    Ujumbe wa Sahara Magharibi ukiongozwa na mwanadiplomasia mkuu wa Harakati ya Polisario umekutana na Waziri wa Uingereza anayehusika na Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini Hamish Falconer mjini London sambamba na kuongezeka juhudi za kimataifa za kuushughulikia mzozo wa Sahara Magharibi.

  • Hizbullah: Israel ilitaka kuisambaratisha Iran, lakini Tehran ikaibuka mshindi

    Hizbullah: Israel ilitaka kuisambaratisha Iran, lakini Tehran ikaibuka mshindi

    Jul 19, 2025 01:16

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema utawala wa Israel ulikuwa ukitaka kuendeleza ajenda yake ya uharibifu dhidi ya Iran wakati wa vita vyake dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu mwezi uliopita, lakini Tehran iliweza kuushinda utawala huo ghasibu.

  • Sheikh Naim  Qassim: Israel ni tishio la kistratejia kwa usalama wa eneo na dunia; Hizbullah haitaweka chini silaha

    Sheikh Naim Qassim: Israel ni tishio la kistratejia kwa usalama wa eneo na dunia; Hizbullah haitaweka chini silaha

    Jul 03, 2025 04:19

    Sheikh Naim Qassem, kiongozi wa harakati ya muqawama ya Lebanon Hizbullah ameeleza kuwa Israel si tu kuwa inaikalia kwa mabavu Palestina bali ni tishio la kimkakati kwa Lebanon, Misri, Syria, Jordan, na ni tishio pia kwa amani na usalama wa kanda hii na dunia nzima kwa ujumla.

  • Katibu Mkuu wa Hizbullah: Iran ndiye mshindi wa Vita vya Siku 12

    Katibu Mkuu wa Hizbullah: Iran ndiye mshindi wa Vita vya Siku 12

    Jun 28, 2025 02:49

    Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, Iran ndiye mshindi wa makabiliano baina yake na adui mzayuni.

  • Lebanon yakanusha madai ya kuwepo silaha katika ngome ya Hizbullah

    Lebanon yakanusha madai ya kuwepo silaha katika ngome ya Hizbullah

    Jun 09, 2025 07:42

    Jeshi la Lebanon linasema kuwa limekamilisha oparesheni zake za ukaguzi wa silaha na zana za kijeshi katika kitongoji cha Dahiyeh, kusini mwa Beirut, ngome ya Harakati ya Muqawama ya Hizbullah, bila kupata chochote cha kutia shaka.

  • Ijumaa, Juni 6, 2025

    Ijumaa, Juni 6, 2025

    Jun 05, 2025 22:48

    Leo ni Ijumaa 10 Mfunguo Tatu Dhulhija 1446 Hijria mwafaka na 6 Juni 2025 Milaadia.

  • Iran: Tutaendelea kuiunga mkono Lebanon kwa hali na mali

    Iran: Tutaendelea kuiunga mkono Lebanon kwa hali na mali

    Jun 05, 2025 03:21

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesisitiza utayarifu wa Jamhuri ya Kiislamu kuimarisha ushirikiano na Lebanon, alipokutana na Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah, Sheikh Naim Qassem mjini Beirut.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS