-
Magaidi 60 waangamizwa Idlib katika mashambulio ya anga ya Syria na Russia
Feb 13, 2020 03:35Magaidi wasiopungua 60 wameangamizwa na makumi ya wengine kujeruhia mashariki mwa mji wa Idlib kufuatia mashambulio ya anga ya pamoja ya majeshi ya Syria na Russia.
-
Himaya ya Trump kwa magaidi na takwa la kusitishwa operesheni ya kuikomboa Idlib huko Syria
Dec 28, 2019 10:43Ushindi mtawalia wa jeshi la Syria na waitifaki wake umewafanya magaidi waondoke katika ngome yao ya mwisho yaani mkoa wa Idlib. Jeshi la Syria na waitifaki wake wameanzisha operesheni ya kijeshi kwa lengo la kuikomboa Idlib baada ya magaidi kukiuka makubaliano ya usitishaji vita. Hata hivyo nchi za Magharibi hususan Marekani zinataka kusimamishwa operesheni hiyo kwa visingizio vya masuala yanayohusiana na haki za binadamu.
-
Safari ya Lavrov nchini Marekani, kuendelea tofauti kati ya Moscow na Washington
Dec 12, 2019 02:16Uhusiano wa Marekani na Russia hususan baada ya kuibuka mgogoro wa Ukraine mwaka 2014, unashuhudia mivutano mingi ambapo Washington mbali na kukabiliana na Moscow katika uga wa masuala ya kiusalama, kijeshi na kisiasa pia imeiwekea mashinikizo makali Russia katika nyuga tofauti za kisiasa, kidiplomasia, kibiashara, kiuchumi, kijeshi, mauzo ya silaha na nishati.
-
Syria yazidi kukomboa maeneo yaliyotekwa na magaidi wakufurishaji
Nov 26, 2019 04:14Jeshi la Syria limezidi kukomboa maeneo yaliyokuwa yametekwa na magenge ya kigaidi huko kusini mashariki mwa mkoa wa Idlib yakiwemo maeneo ya Umm Halahil na Dahraz-Zarzur.
-
Mji wa kistratejia wa Khan Shaykhun wakombolewa na kuingia rasmi mikononi mwa jeshi la Syria
Aug 22, 2019 12:12Jeshi la Syria limeukomboa na kuutwaa kikamilifu mji wa kistratejia wa Khan Shaykhun ulioko kwenye kiunga cha kusini cha mkoa wa Idlib, kaskazini magharibi mwa nchi hiyo.
-
Jeshi la Syria laingia Khan Sheikhoun, katika awamu muhimu ya ukombozi wa Idlib
Aug 20, 2019 06:56Jeshi la Syria usiku wa kiamkia tarehe 18 Agosti liliingia katika eneo la Khan Sheikhoun huko kusini mwa mkoa wa Idlib.
-
Syria yapinga makubaliano ya Marekani na Uturuki kuhusu eneo la kaskazini mwa nchi hiyo
Aug 08, 2019 11:59Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imetoa taarifa maalumu na kusisitiza kuwa, inapinga makubaliano yaliyofikiwa baina ya Marekani na Uturuki ya kutenga eneo ati litakaloitwa 'eneo la usalama' kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Syria yaapa kulikomboa eneo la Idlib kutoka kwenye makucha ya magaidi
Feb 23, 2019 03:47Mshauri wa Masuala ya Kisiasa na Vyombo vya Habari wa Rais wa Syria amesema kuwa, eneo la Idlib litakombolewa na Rais Recep Tayyep Erdogan hawezi kuunda ukanda eti wa amani huko kaskazini mwa Syria.
-
Russia yafichua njama ya magaidi ya kutumia silaha za kemikali Syria
Oct 13, 2018 15:55Russia imetangaza kuwa, ina habari za kipelelezi kuhusu njama inayopangwa na magaidi kwa ajili ya kutumia silaha za kemikali katika eneo la Idlib huko kaskazini magharibi mwa Syria.
-
Hashdu sh-Sha'abi yaonya juu ya njama za Marekani za kuwaingiza Iraq magaidi wa Daesh
Sep 25, 2018 02:24Msemaji wa kamandi ya upande wa kaskazini ya Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi ya nchini Iraq ameonya juu ya njama za Marekani za kuwasaidia magaidi wa genge la Daesh (ISIS) kutoka Idlib, Syria kuingia nchini humo.