Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Imarati

  • Malalamiko ya Sudan kuhusu mashinikizo ya Marekani ya kuwa na uhusiano na Israel

    Malalamiko ya Sudan kuhusu mashinikizo ya Marekani ya kuwa na uhusiano na Israel

    Sep 06, 2020 07:12

    Serikali ya Trump muda wote imekuwa ikijionesha ni mtumishi asiye na doa wa malengo ya utawala wa Israel na imekuwa ikichukua hatua mbalimbali kama kuzilazimisha nchi za Kiarabu na za Waislamu kutangaza uhusiano wa kawaida na utawala huo wa Kizayuni. Hata hivyo baadhi ya nchi kama Sudan zimeamua kupinga na pia kukabiliana na njama hizo.

  • Harakati ya PFLP yataka kutimuliwa Imarati katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu

    Harakati ya PFLP yataka kutimuliwa Imarati katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu

    Sep 05, 2020 21:56

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Wananchi kwa ajili ya Ukombozi wa Palestina (PFLP) amesema kuwa, hatua ya Imarati ya kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel inakinzana na uamuzi wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu hivyo ametoa wito wa kutimuliwa nchi hiyo sambamba na kurejeshwa Syria katika jumuiya hiyo.

  • Imarati kufungua ubalozi wake Israel ndani ya miezi 5

    Imarati kufungua ubalozi wake Israel ndani ya miezi 5

    Sep 05, 2020 06:53

    Afisa wa ngazi ya juu wa Umoja wa Falme za Kiarabu amesema nchi hiyo inatazamiwa kufungua ubalozi ndani ya utawala haramu wa Israel katika kipindi cha kati ya miezi mitatu hadi mitano.

  • Kikao cha kiistratijia cha Beirut, sauti moja ya Wapalestina

    Kikao cha kiistratijia cha Beirut, sauti moja ya Wapalestina

    Sep 05, 2020 01:53

    Makundi ya Palestina yameitisha kikao cha pamoja mjini Beirut, Lebanon na kulaani njama mbalimbali zinazofanywa dhidi ya Palestina na wamesisitiza kuwa kitu kimoja na kuendelea na muqawama katika kukabiliana na njama za Kiarabu/Kimagharibi na Kizayuni.

  • Jordan yatoa msimamo kuhusu njama ya UAE na Israel ya kutaka kubadilisha hali ya msikiti wa Al Aqsa

    Jordan yatoa msimamo kuhusu njama ya UAE na Israel ya kutaka kubadilisha hali ya msikiti wa Al Aqsa

    Sep 02, 2020 10:39

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jordan imetangaza kuwa, Idara ya Waqfu ya nchi hiyo ndio pekee yenye mamlaka na ustahiki wa kusimamia masuala ya Msikiti mtukufu wa Al Aqsa na uendeshaji wake.

  • UN: Muungano wa Saudia ungali unaishambulia Yemen kwa mabomu yaliyopigwa marufuku

    UN: Muungano wa Saudia ungali unaishambulia Yemen kwa mabomu yaliyopigwa marufuku

    Sep 02, 2020 10:35

    Umoja wa Mataifa umeeleza katika ripoti kuwa, muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia unatumia mabomu yaliyopigwa marufuku ya vishada katika mashambulio yake dhidi ya mji wa al Hudaydah, magharibi mwa Yemen.

  • Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi: Imarati imeusaliti Ulimwengu wa Kiislamu na Palestina

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi: Imarati imeusaliti Ulimwengu wa Kiislamu na Palestina

    Sep 01, 2020 08:40

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameitaja hatua ya serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) ya kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni kuwa ni kuusaliti Ulimwengu wa Kiislamu, Ulimwengu wa Kiarabu na nchi za eneo na kadhia muhimu ya Palestina.

  • Maulamaa wa Kiislamu: Kuwa na uhusiano wa kawaida na Israel ni kudharau jinai zake

    Maulamaa wa Kiislamu: Kuwa na uhusiano wa kawaida na Israel ni kudharau jinai zake

    Aug 31, 2020 22:02

    Mkuu wa Umoja wa Kimataifa wa Maulamaa wa Kiislamu amesema kwamba, kitendo cha baadhi ya nchi za Kiarabu cha kuweka uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel ni kufumbia macho jinai za utawala huo katili dhidi ya wananchi wa Palestina.

  • Imarati yazidi kuikumbatia Israel, yaruhusu ndege za utawala huo

    Imarati yazidi kuikumbatia Israel, yaruhusu ndege za utawala huo

    Aug 29, 2020 19:28

    Umoja wa Falme za Kiarabu umebatilisha sheria ya kuususia utawala haramu wa Israel na adhabu ya kukiuka sheria hiyo iliyokuwa imepiga marufuku kufanya miamala yoyote ya kibiashara na kifedha na utawala huo wa Kizayuni.

  • Iran: 'Mashariki ya Kati' mpya itaanzishwa kwa kutimuliwa Marekani katika eneo

    Iran: 'Mashariki ya Kati' mpya itaanzishwa kwa kutimuliwa Marekani katika eneo

    Aug 28, 2020 08:05

    Msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Iran katika masuala ya kimataifa amesema: 'Mashariki ya Kati' mpya itaundwa baada ya kuhakikisha Marekani imeshatimuliwa kikamilifu katika eneo hili la Asia Magharibi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS