-
Israel na Umoja wa Falme za Kiarabu zakubaliana kujenga vituo vya kijasusi Yemen
Aug 28, 2020 02:22Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) na utawala wa Kizayuni wa Israel zimesema kuwa zimekubaliana kushirikiana kuanzisha vituo vya ujasusi katika eneo la kistratejia la Socotra huko Yemen. Hiyo ni kufuatia mapatano yaliyofikiwa kati ya Abu Dhabi na Tel Aviv l ya kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia kati ya pande mbili.
-
Sudan yataka kuondolewa katika orodha ya ugaidi, yakataa kuanzisha uhusiano na Israel
Aug 26, 2020 01:38Serikali ya Sudan imetoa taarifa ikiiambia Marekani kwamba suala la kuondolewa jina la Sudan katika orodha ya magaidi halipasi kushurutishwa na kuanzisha uhusiano wa kidoplomasia na utawala haramu wa Israel.
-
Safari ya kieneo ya Mike Pompeo; juhudi za kuupa uhalali utawala wa Kizayuni wa Israel
Aug 25, 2020 07:49Katika kipindi cha uongozi wa Rais Donal Trump nchini Marekani, nchi hiyo imefanya mambo na kuchukua hatua ambazo hazijawahi kushuhudiwa huko nyuma kwa maslahi ya utawala haramu wa Israel.
-
Maulamaa wa Kisunni Iran walaani makubaliano ya Israel na UAE
Aug 24, 2020 07:31Wanazuoni wa Kisunni hapa nchini Iran wamekosoa vikali mapatano yaliyofikiwa hivi karibuni kati ya Umoja wa Falme za Kiarabu na utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia kati ya pande mbili hizo.
-
Kushadidi tofauti baina ya Uturuki na UAE na hatari ya kuharibika zaidi uhusiano wa nchi mbili
Aug 23, 2020 03:33Uhusiano wa Uturuki na Umoja wa Falme za Kiarabu unaelekea kuharibika zaidi baada ya Mkuu wa Mashtaka wa serikali ya Ankara kuiomba Polisi ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai INTERPOL imtie nguvuni Mohammed Dahlan, mshauri wa Mohammed bin Zayed, mrithi wa ufalme wa Imarati.
-
Wanaharakati wa Imarati wapinga hatua ya serikali ya nchi hiyo ya kufikia mapatano na utawala wa Kizayuni
Aug 20, 2020 19:38Wanaharakati wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) wameyataja mapatano yaliyofikiwa kati ya nchi hiyo na utawala wa Kizayuni ya kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia kati ya pande mbili kuwa ni kukiuka katiba na na kupuuza msimamo wa viongozi wa mwanzo wa Imarati katika kuinga mkono Palestina.
-
Bunge la Tunisia limelaani mapatano kati ya Imarati na utawala wa Kizayuni
Aug 18, 2020 02:27Bunge la Tunisia limelaani mapatano yaliyofikiwa ya kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia kati ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) na utawala ghasibu wa Israel.
-
Jumuiya ya Maulamaa Algeria: Kuanzisha uhusiano na Israel ni haramu
Aug 17, 2020 08:49Jumuiya ya Maulamaa wa Algeria imesema, ni haramu kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala ghasibu wa Kizayuni wa Israel.
-
Taathira za kiusalama za ‘makubaliano ya usaliti’ ya Israel na Imarati
Aug 17, 2020 02:08Makubaliano ya hiana na usaliti ya Imarati na utawala dhalimu wa Israel ya kuanzisha uhusiano rasmi wa kidiplomasia baina yao yatakuwa na matokeo na taathira tofauti katika uga wa usalama.
-
Mjukuu wa Mandela akosoa mapatano ya kuanzisha uhusiano baina ya Imarati na Israel
Aug 15, 2020 22:41Mjukuu wa shujaa wa mapambano dhidi ya utawala wa ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini amekosoa mapatano ya kuanzishwa uhusiano wa kidiplomasia baina ya Imarati na utawala haramu wa Israel.