Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Imarati

  • Taathira za kiusalama za ‘makubaliano ya usaliti’ ya Israel na Imarati

    Taathira za kiusalama za ‘makubaliano ya usaliti’ ya Israel na Imarati

    Aug 17, 2020 02:08

    Makubaliano ya hiana na usaliti ya Imarati na utawala dhalimu wa Israel ya kuanzisha uhusiano rasmi wa kidiplomasia baina yao yatakuwa na matokeo na taathira tofauti katika uga wa usalama.

  • Mjukuu wa Mandela akosoa mapatano ya kuanzisha uhusiano baina ya Imarati na Israel

    Mjukuu wa Mandela akosoa mapatano ya kuanzisha uhusiano baina ya Imarati na Israel

    Aug 15, 2020 22:41

    Mjukuu wa shujaa wa mapambano dhidi ya utawala wa ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini amekosoa mapatano ya kuanzishwa uhusiano wa kidiplomasia baina ya Imarati na utawala haramu wa Israel.

  • UAE: Hakuna hakikisho lolote la kughairishwa umegaji wa eneo la Ufukwe wa Magharibi

    UAE: Hakuna hakikisho lolote la kughairishwa umegaji wa eneo la Ufukwe wa Magharibi

    Aug 15, 2020 21:46

    Waziri wa Nchi katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Imarati (UAE) amekiri kuwa hakuna hakikisho lolote lililotolewa katika makubaliano kati ya nchi hiyo na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel la kufutwa mpango wa kulimega eneo la ardhi ya Palestina la Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Spika wa Bunge la Iran: Imarati imejidhalilisha kwa kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni

    Spika wa Bunge la Iran: Imarati imejidhalilisha kwa kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni

    Aug 14, 2020 22:29

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa makubaliano ya Imarati na utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuanzisha uhusiano baina ya pande hizo mbili ni ya kijidhalilisha na ni usaliti kwa thamani za Umma wa Kiislamu na malengo ya taifa la Palestina.

  • Muungano wa Maulama wa Kiislamu: Hatua ya Imarati kuanzisha uhusiano na Israel ni usaliti mkubwa

    Muungano wa Maulama wa Kiislamu: Hatua ya Imarati kuanzisha uhusiano na Israel ni usaliti mkubwa

    Aug 14, 2020 22:28

    Jumuiya ya Muungano wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu imelaani makubaliano ya kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia baina ya Imarati na utawala haramu wa Israel yaliyofikiwa kwa upatanishi wa Marekani.

  • Palestina yamrejesha nyumbani balozi wake Abu Dhabi baada ya Imarati kuanzisha uhusiano na Israel

    Palestina yamrejesha nyumbani balozi wake Abu Dhabi baada ya Imarati kuanzisha uhusiano na Israel

    Aug 14, 2020 05:04

    Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina ametangaza kuwa balozi wa Palestina mjini Abu Dhabi ameitwa nyumbani kulalamikia hatua ya Imarati ya kuanzisha rasmi uhusiano wa kidiplomasia na utawala haramu wa Israel.

  • Mapatano ya aibu na usaliti kati ya Imarati na utawala wa Kizayuni

    Mapatano ya aibu na usaliti kati ya Imarati na utawala wa Kizayuni

    Aug 14, 2020 04:29

    Umoja wa Falme za Kiarabu yaani Imarati, utawala ghasibu wa Israel na Marekani zimetoa taarifa ya pamoja zikitangaza kwamba Imarati na utawala haramu wa Israel zimefikia mapatano ya kuanzisha uhusiano wa kawaida baina yazo.

  • Makundi ya kupigania ukombozi Palestina yalaani mapatano ya kuaibisha ya UAE na Israel

    Makundi ya kupigania ukombozi Palestina yalaani mapatano ya kuaibisha ya UAE na Israel

    Aug 13, 2020 22:43

    Makundi ya kupigania ukombozi wa Paelstina yametoa taarifa kadhaa za kulaani vikali hatua ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kuanzisha rasmi uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Imarati yafanya njama za kubadili utambulisho wa kisiwa cha Socotra

    Imarati yafanya njama za kubadili utambulisho wa kisiwa cha Socotra

    Aug 13, 2020 22:28

    Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) ambayo umekivamia na kukikalia kwa mabavu kisiwa cha Socotra huko Yemen unafanya mikakati ya kubadili utambulisho wa kisiwa hicho.

  • Mpango wa Saudia na UAE wa kutorosha magaidi walioko gerezani Iraq

    Mpango wa Saudia na UAE wa kutorosha magaidi walioko gerezani Iraq

    Aug 01, 2020 07:01

    Mbunge mmoja nchini Iraq amefichukua kuhusu mpango wa Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu wa kutorosha wafungwa katika jela ya al Hoot nchini Iraq

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS