-
Waziri Mkuu wa zamani na mkongwe wa siasa za Kenya Raila Odinga afariki dunia akiwa matibabuni India
Oct 15, 2025 07:57Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga amefariki dunia leo asubuhi huko Koothattukulam, wilayani Ernakulam nchini India, baada ya kupata mshtuko wa moyo wakati anafanya matembezi yake ya kila asubuhi.
-
India yaendelea kuwakamata Waislamu wanaosema 'Nampenda Muhammad'
Oct 15, 2025 02:33Watumiaji wa mitandao ya kijamii wameikosoa vikali serikali ya India kwa kuendelea kuwatia mbaroni na kuwashtaki Waislamu wanaoendeleza kampeni ya nchi nzima ya 'Nampenda Muhammad'.
-
Trump azishambulia China na India kwa kuziita 'wafadhili wakuu' wa vita vya Ukraine
Sep 25, 2025 04:12Rais wa Marekani Donald Trump amezituhumu India na China kuwa "zinafadhili kifedha" vita vya Ukraine kupitia uagizaji wa nishati kutoka Russia. Trump ametoa shutuma hizo katika hotuba yake kwenye Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa unaoendelea mjini New York.
-
Kwa nini Waziri Mkuu wa India amewataka wananchi kutumia bidhaa za ndani?
Sep 24, 2025 11:08Waziri Mkuu wa India amewataka wananchi wa nchi hiyo kuacha kutumia bidhaa kutoka nje na badala yake watumie bidhaa za ndani kufuatia kushtadi mivutano katika uhusiano wa nchi hiyo na Marekani.
-
Hasira za nchi za Magharibi kuhusu Mkutano wa Shanghai na mjumuiko wa madola yanayoibukia
Sep 06, 2025 12:02Viongozi wa Marekani na Umoja wa Ulaya wamekasirishwa na mkutano wa kilele wa Shanghai na mkusanyiko wa nchi hasimu za Magharibi
-
Trump dhidi ya Modi: Ni nini matokeo ya kuanza rasmi vita vya ushuru vya Marekani dhidi ya India?
Aug 28, 2025 10:46Marekani imeanza kutekeleza ushuru wa asilimia 50 kwa bidhaa zinazoingizwa nchini humo kutoka India.
-
Je, kustawishwa ushirikiano wa Russia na India ni jibu kwa sera ya mashinikizo ya Trump?
Aug 27, 2025 02:21Sambamba na mashinikizo ya utawala wa Trump dhidi ya India ili ipunguze uhusiano wake na Russia, Waziri wa Mambo ya Nje wa India alisafiri hadi Moscow na kukutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Russia Vladimir Putin.
-
Je, siasa za serikali ya Modi zimewatenga Waislamu wa India?
Aug 14, 2025 07:41Waislamu wa India, ambao ni zaidi ya watu milioni 200, katika miaka ya hivi karibuni wamekuwa wakikabiliwa na changamoto zinazoongezeka katika uwanja wa haki za uraia, usalama wa kijamii na ushiriki wa kisiasa.
-
Nchi zinazoibukia kiuchumi zimejibu vipi vita vya ushuru vya Trump?
Aug 09, 2025 11:29Mataifa matatu yanayoinukia kiuchumi, Brazil, India na Uchina, yamejibu vikali hatua ya Rais wa Marekani, Donald Trump, ya kupandisha ushuru wa forodha kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa.
-
Kwa nini India inashirikiana na utawala wa kizayuni wa Israel?
Aug 09, 2025 02:29Katika miaka ya hivi karibuni India na utawala wa Kizayuni zimeanzisha uhusiano mkubwa katika sekta nyingi za kiuchumi, kijeshi na kisiasa.