-
Maonyesho ya Qur'ani Tukufu yaanza Senegal
Apr 15, 2023 02:55Maonyesho makubwa ya Qur'ani Tukufu yameanza Dakar, mji mkuu wa Senegal huko Magharibi mwa Afrika kwa hima na juhudi za Chuo Kikuu cha Al-Mustafa.
-
Mkuu wa IRGC: Israel itaporomoka na Palestina itapata uhai mpya
Apr 14, 2023 23:07Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) anasema kuwa utawala wa Israel uko karibu kuporomoka huku ukikabiliwa na migogoro kadhaa wakati ambao harakati za ukombozi wa Palestina zinapata uhai mapya.
-
Ramani ya Utaratibu Mpya wa Ulimwengu; Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la kudhoofika sarafu ya dola
Apr 13, 2023 08:49Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Jumanne ya tarehe 4 Aprili alizungumzia na kufafanua masuala kadhaa katika mkutano na viongozi na maafisa watendaji wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Marajii Taqlidi wataka mahudhurio makubwa ya maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds hapo kesho
Apr 13, 2023 08:49Marajii Taqlidi wa Waislamu wa Kishia wametoa taarifa kwa nyakati tofauti wakiwataka Waislamu ulimwenguni hasa wananchi wa iran kujitokeza kwa wingi hapo kesho katika maandamano ya Siku yay Kimataifa ya Quds.
-
Ujumbe wa Iran uko Saudi Arabia kuandaa ufunguzi wa ubalozi
Apr 12, 2023 22:53Ujumbe wa Iran umewasili katika mji mkuu wa Saudi Arabua, Riyadh, kujadili utekelezaji wa makubaliano yaliyofikiwa kati ya pande hizo mbili mwezi uliopita ili kurejesha uhusiano wa kidiplomasia.
-
Rais Raisi: Taifa la Iran litabaki kuwa thabiti katika malengo ya Uislamu hadi Quds itakapokombolewa
Apr 12, 2023 09:39Rais Ebrahim Raisi amesema: taifa adhimu la Iran litatangaza kwa mara nyingine tena kwamba litabaki kuwa thabiti katika malengo ya Uislamu hadi itakapokombolewa Quds kikamilifu, kwa kushiriki kwa wingi katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds.
-
Spika wa Bunge la Iran: Uchokozi wa utawala wa Israel unathibitisha utambulisho wake wa kifashisti na kibaguzi
Apr 10, 2023 23:33Spika wa Majlisi ya Ushauri wa Kiislamu, Bunge la Iran, amesema vitendo vya kichokozi vilivyofanywa hivi karibuni na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu vinadhihirisha tabia ya utawala huo wa kifashisti na ubaguzi wa rangi.
-
Kiongozi wa Palestina: Siku ya Quds mwaka huu ni tofauti zaidi na miaka iliyopita
Apr 10, 2023 22:47Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Wananchi wa Palestina ameashiria uungaji mkono mkubwa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa Palestina na kusisitiza kuwa Siku ya Quds mwaka huu ni tofauti zaidi na miaka iliyopita.
-
Rais wa Iran: Waislamu waonyeshe katika Siku ya Quds mwaka huu kwamba wanampinga dhalimu
Apr 07, 2023 07:31Rais Ibrahim Raisi wa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, katika Siku ya Kimataifa ya Quds mwaka huu, Waislamu wanapaswa kuonyesha kwamba, wanamuunga mkono madhulumu na wako dhidi ya mvamizi na dhalimu.
-
Kukutana rasmi Amir-Abdollahian na Faisal Farhan; kuhuishwa uhusiano wa Saudi Arabia na Iran
Apr 06, 2023 09:23Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia wamekutana leo katika mji mkuu wa China Beijing na kukubaliana kufunguliwa ofisi za uwakilishi wa nchi mbili na kusisitiza utayari wao wa kuondoa vizuizi vinavyokwamisha kupanuliwa mashirikiano baina ya Tehran na Riyadh.