-
Taarifa ya pamoja ya Iran na Saudia: Ofisi za uwakilishi zitafunguliwa, mashirikiano yatapanuliwa
Apr 06, 2023 04:36Mawaziri wa mambo ya nje wa Iran na Saudi Arabia ambao wamekutana katika mji mkuu wa China Beijing wamekubaliana kufunguliwa ofisi za uwakilishi wa nchi mbili na kusisitiza utayarifu wao wa kuondoa vizuizi vinavyokwamisha kupanuliwa mashirikiano baina ya Tehran na Riyadh.
-
Ripoti: Wanadiplomasia wakuu wa Iran na Saudia kukutana Beijing Alkhamisi
Apr 05, 2023 08:41Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian na mwenzake wa Saudi Arabia, Mwanamfalme Faisal bin Farhan Al Saud, wanatazamiwa kukutana katika mji mkuu wa China, Beijing kesho Alkhamisi.
-
Msafara wa manowari za Iran watia nanga Afrika Kusini
Apr 01, 2023 05:52Msafara wa manowari za jeshi la majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran umetia nanga katika mji wa bandari wa Cape Town nchini Afrika Kusini.
-
Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Russia mjini Moscow
Mar 31, 2023 10:33Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na mwenzake wa Russia huko Moscow kuhusu uhusiano na masuala mengine yanayozihusu pande mbili.
-
ICJ: Marekani ilikiuka sheria ya kimataifa kuzuia mali za Iran, iilipe fidia
Mar 30, 2023 23:18Majaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) yenye makao yake mjini The Hague wamehukumu kuwa Marekani ilikiuka sheria za kimataifa kwa kuziruhusu mahakama za nchi hiyo kutaifisha mali zenye thamani ya takribani dola bilioni mbili kutoka kwa makampuni ya Iran, na kuiamuru Washington ilipe fidia, kiwango ambacho kitafahamika hapo baadaye.
-
China: Luteka ya pamoja na Iran, Russia imeimarisha ushirikiano wa pande tatu
Mar 30, 2023 22:46China imepongeza kufanyika kwa mafanikio hivi karibuni mazoezi ya pamoja ya kijeshi baina ya nchi hiyo, Iran na Russia katika Bahari ya Oman na kueleza kuwa, luteka hiyo imeimarisha ushirikiano na urafiki wa pande tatu katika usalama wa baharini.
-
Alkhamisi, tarehe 30 Machi, 2023
Mar 29, 2023 23:13Leo ni Alkhamisi tarehe 8 Ramadhani 1444 Hijria sawa na 30 Machi 2023.
-
Amir Abdollahian: Mlango wa mazungumzo ya nyuklia hautabakia wazi milele
Mar 28, 2023 03:43Hossein Amir Abdollahian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema rasimu ya mpango wa kuainisha kiwango cha mazungumzo ya nyuklia inajadiliwa katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) na kusisitiza kwamba mlango wa mazungumzo hayo hautabakia wazi milele.
-
Iran yalaani vitendo vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu Denmark
Mar 27, 2023 23:33Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani wimbi la kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu na makundi yenye misimamo mikali ya mrengo wa kulia nchini Denmark na katika nchi nyingine za Ulaya.
-
Ripoti: Baadhi ya mashirika ajinabi yalihusika na mauaji ya polisi wa Iran
Mar 27, 2023 08:09Baraza Kuu la Haki za Binadamu la Iran (HCHR) limechapisha ripoti mpya iliyofichua nafasi ya nchi za Magharibi na mashirika yao katika mauaji ya askari polisi wa Jamhuri ya Kiislamu wakati wa maandamano ya karibuni yaliyochochewa na mataifa hayo ya kibeberu hapa nchini.