-
Trump atiwa hofu na wasiwasi na muungano wa Iran, Saudia, China na Russia
Mar 26, 2023 03:39Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ameeleza hofu na wasi wasi alionao juu ya muungano unaoweza kuanzishwa kati ya Iran, Saudi Arabia, China na Russia.
-
Kukiri Waziri wa Fedha wa Marekani kuhusu athari ndogo za vikwazo dhidi ya Iran
Mar 25, 2023 22:51Janet Yellen Waziri wa Fedha wa Marekani amekiri kuwa vikwazo vya Washington dhidi ya Iran vimekuwa na taathira ndogo kuliko ilivyopangwa."
-
Iran na Oman zajadili kuondolewa vikwazo Tehran
Mar 25, 2023 03:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Hossein Amir-Abdollahian amezungumza na mwenzake wa Oman, Badr Albusaidi kwa njia ya simu, na wawili hao wamejadili kuhusu hali ya sasa ya mazungumzo ya kuiondolea Jamhuri ya Kiislamu vikwazo vya kidhalimu.
-
Maafisa wa Iran, Lebanon wazungumzia matukio ya kieneo mjini Beirut
Mar 24, 2023 04:21Mkuu wa Baraza la Kistratijia la Mahusiano ya Kigeni la Iran, Kamal Kharrazi amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah mjini Beirut, ambapo wamejadili matukio ya hivi sasa ya kisiasa na kiusalama katika eneo la Asia Magharibi.
-
Iran: Mashambulizi ya Israel dhidi ya Aleppo yanakiuka sheria za kimataifa
Mar 23, 2023 23:18Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amelaani mashambulizi ya anga ya hivi karibuni ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Aleppo (Halab) huko kaskazini mwa Syria na kusisitiza kuwa, uvamizi huo unakanyaga sheria za kimataifa, Hati ya Umoja wa Mataifa mbali na kuwa tishio kubwa kwa amani na uthabiti wa eneo la Asia Magharibi.
-
Raisi awapongeza viongozi wa nchi za Kiislamu kwa kuanza Ramadhani
Mar 23, 2023 07:48Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia salamu za pongezi viongozi wa nchi za Kiislamu kwa kuanza mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
GCC: Mapatano ya Saudia, Iran kuhitimisha migogoro katika eneo
Mar 23, 2023 07:41Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi (GCC) limepongeza makubaliano ya hivi karibuni kati ya Iran na Saudi Arabia ya kurejesha uhusiano wa kidiplomasia uliokuwa umevunjika kwa kipindi cha miaka saba.
-
Mapatano ya Kiusalama kati ya Iran na Iraq; azma thabiti ya kukabiliana na vitisho
Mar 22, 2023 22:43Katika hafla iliyohudhuriwa na Mohammad Shia as-Sudani, Waziri Mkuu wa Iraq hapo siku ya Jumapili tarehe 19 Machi mwaka huu, makubaliano ya ushirikiano wa usalama wa pamoja wa kati ya nchi mbili jirani za Iran na Iraq yalitiwa saini na Admeri Ali Shamkhani, Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Kitaifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, na Qasim al-Aarji, Mshauri wa Usalama wa Kitaifa wa Waziri Mkuu wa Iraq.
-
Mapatano ya Kiusalama kati ya Iran na Iraq; azma thabiti ya kukabiliana na vitisho
Mar 21, 2023 22:47Katika hafla iliyohudhuriwa na Mohammad Shia as-Sudani, Waziri Mkuu wa Iraq hapo siku ya Jumapili tarehe 19 Machi mwaka huu, makubaliano ya ushirikiano wa usalama wa pamoja wa kati ya nchi mbili jirani za Iran na Iraq yalitiwa saini na Admeri Ali Shamkhani, Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Kitaifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, na Qasim al-Aarji, Mshauri wa Usalama wa Kitaifa wa Waziri Mkuu wa Iraq.
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa OIC wapongeza mapatano ya Iran na Saudia
Mar 18, 2023 04:36Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) wamepongeza makubaliano ya hivi karibuni kati ya Iran na Saudi Arabia ya kurejesha uhusiano wa kidiplomasia.