Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Mufti wa Oman: Mapatano ya Iran na Saudia yameutia hofu na kiwewe utawala wa Kizayuni wa Israel

    Mufti wa Oman: Mapatano ya Iran na Saudia yameutia hofu na kiwewe utawala wa Kizayuni wa Israel

    Mar 18, 2023 00:37

    Mufti wa Oman Sheikh Ahmad bin Hamad Al-Khalili amesisitiza haja ya kudumishwa amani na utangamano katika eneo la Ghuba ya Uajemi na kubainisha kwamba, makubaliano na mapatano yaliyofikiwa kati ya Iran na Saudi Arabia yameutia hofu na kiwewe utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.

  • Mazoezi ya pamoja ya majeshi ya majini ya Iran, China na Russia

    Mazoezi ya pamoja ya majeshi ya majini ya Iran, China na Russia

    Mar 16, 2023 22:45

    Mazoezi ya pamoja ya majeshi ya majini ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, China na Russia yanayofanyika kwa anwani ya "Ukanda wa Amani wa Baharini 2023", yameakisiwa sana kimataifa na kuwa habari ya kwanza katika vyombo mashuhuri vya habari duniani.

  • Msimamo wa Iran kwa mnasaba wa Machi 15, Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Chuki dhidi ya Uislamu

    Msimamo wa Iran kwa mnasaba wa Machi 15, Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Chuki dhidi ya Uislamu

    Mar 16, 2023 08:17

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana Jumatano alituma ujumbe katika ukurasa wake wa Twitter akisema kwamba: Wale wenye chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu hawaamini maadili yoyote ya kibinadamu na dini za Mwenyezi Mungu.

  • Iran, China na Russia zafanya luteka ya pamoja katika Bahari ya Oman

    Iran, China na Russia zafanya luteka ya pamoja katika Bahari ya Oman

    Mar 16, 2023 07:55

    Vikosi vya majini vya Iran, Russia na China vinaendelea na mazoezi ya pamoja ya kijeshi katika Bahari ya Oman, huo ukiwa ni muendelezo wa juhudi za nchi tatu hizo za kuimarisha ushirikiano wa majeshi yao ya baharini.

  • Kana'ani: Mkakati wa Iraq kuzipatanisha Iran, Saudia mzizi wake ni Soleimani

    Kana'ani: Mkakati wa Iraq kuzipatanisha Iran, Saudia mzizi wake ni Soleimani

    Mar 16, 2023 07:19

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameashiria mapatano ya kurejesha uhusiano wa kidiplomasia kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia na kueleza kuwa, msingi wa jitihada za Iraq za kuzipatanisha Tehran na Riyadh unatokana na mitazamo ya kistratajia ya Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).

  • Katibu Mkuu wa Arab League: Kupatana Tehran na Riyadh ni hatua chanya kwa maana halisi

    Katibu Mkuu wa Arab League: Kupatana Tehran na Riyadh ni hatua chanya kwa maana halisi

    Mar 15, 2023 04:08

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu amesema makubaliano yaliyofikiwa kati ya Iran na Saudi Arabia ni hatua nzuri na chanya kwa maana yake halisi na akaongeza kuwa athari zake za kwanza ni kupatikana kwa namna fulani utulivu wa kisiasa na kiusalama kati ya nchi hizo mbili.

  • Tehran, mwenyeji wa kongamano la kubainisha ubaguzi na jinai za Israel

    Tehran, mwenyeji wa kongamano la kubainisha ubaguzi na jinai za Israel

    Mar 14, 2023 22:54

    Kongamano la kupambana na ubaguzi na jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina lilifanyika jana Jumanne hapa Tehran, mji mkuu wa Iran na kuhudhuria na wajumbe wa makundi ya muqawama ya Palestina, maafisa wa Jamhuri ya Kiislamu na wa nchi kadhaa za Kiarabu.

  • Libya: Mapatano kati ya Iran na Saudi Arabia ni kwa maslahi ya nchi za Asia Magharibi

    Libya: Mapatano kati ya Iran na Saudi Arabia ni kwa maslahi ya nchi za Asia Magharibi

    Mar 12, 2023 23:12

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Libya imetoa taarifa na kukaribisha mapatano yaliyofikiwa kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia na kueleza kuwa, mapatano hayo yana maslahi kwa nchi mbili na eneo zima la Asia Magharibi kwa ujumla.

  • Iran yakosoa undumakuwili wa Ufaransa juu ya suala la haki za binadamu

    Iran yakosoa undumakuwili wa Ufaransa juu ya suala la haki za binadamu

    Mar 12, 2023 04:29

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani undumakuwili wa Ufaransa, ambayo kwa upande mmoja inajinadi kuwa mbeba bendera ya kutetea haki za binadamu, lakini kwa upande wa mwngine inakanyaga haki hizo kwa vitendo.

  • Ofisi ya UN: Mapatano ya Iran, Saudia yataharakisha usitishaji vita Yemen

    Ofisi ya UN: Mapatano ya Iran, Saudia yataharakisha usitishaji vita Yemen

    Mar 12, 2023 04:08

    Ofisi ya ubalozi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa imepongeza mapatano ya kurejesha tena uhusiano wa kidiplomasia kati ya Jamhuri ya Kiislamu na Saudi Arabia na kueleza kuwa, muafaka huo utaharakisha mchakato wa kusitishwa vita na mapigano nchini Yemen.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS