Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Jumatano tarehe 21 Disemba 2022

    Jumatano tarehe 21 Disemba 2022

    Dec 20, 2022 22:47

    Leo ni Jumatano tarehe 26 Jumadil Awwal 1444 Hijria sawa na Disemba 21 mwaka 2022.

  • Mazungumzo ya Josep Borrell na Amir-Abdollahian nchini Jordan; msimamo baridi wa Umoja wa Ulaya

    Mazungumzo ya Josep Borrell na Amir-Abdollahian nchini Jordan; msimamo baridi wa Umoja wa Ulaya

    Dec 20, 2022 22:46

    Jumanne ya jana tarehe 20 Disemba, Waziri wa Mashauri ya Kiigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alikutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya pambizoni mwa mkutano wa Baghdad-2 uliofanyika katika mji mkuu wa Jordan, Amman.

  • Iran: Marekani ikhitari diplomasia badala ya mashinikizo na vitisho

    Iran: Marekani ikhitari diplomasia badala ya mashinikizo na vitisho

    Dec 20, 2022 04:18

    Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema iwapo Marekani inataka kweli kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, haina chaguo jingine isipokuwa kukhitari njia ya diplomasia badala ya mashinikizo, vitisho na makabiliano.

  • Jenerali Ashtari: Maadui wa Iran ya Kiislamu wameshindwa kwa fedheha

    Jenerali Ashtari: Maadui wa Iran ya Kiislamu wameshindwa kwa fedheha

    Dec 17, 2022 07:39

    Mkuu wa Jeshi la Polisi la Iran amesisitiza juu ya ulazima wa kuegemea Jihadi ya ufafanuzi na kuweka wazi mambo katika vita vya simulizii na akasema: "Maadui wa Iran ya Kiislamu wameshindwa kwa fedheha katika makabiliano yao na wananchi."

  • Amir-Abdollahian: Utawala wa Israel ni tishio kubwa kwa usalama wa eneo

    Amir-Abdollahian: Utawala wa Israel ni tishio kubwa kwa usalama wa eneo

    Dec 17, 2022 04:31

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema utawala wa Kizayuni ni utawala bandia, usio halali na ni tishio kubwa kwa usalama wa eneo.

  • Radiamali kali ya Iran dhidi ya kushadidi hatua za chuki za madola ya Magharibi

    Radiamali kali ya Iran dhidi ya kushadidi hatua za chuki za madola ya Magharibi

    Dec 16, 2022 09:51

    Katika siku za hivi kariuni madola ya Magharibi yakiongozwa na Marekani yameshadidisha hatua na mashinikizo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yakitumia kama yanavyodai fursa ya kuibuka vurugu na machafuko hapa nchini.

  • Rais Raisi: Mahesabu ya adui katika njama ya karibuni yameenda kombo

    Rais Raisi: Mahesabu ya adui katika njama ya karibuni yameenda kombo

    Dec 16, 2022 08:30

    Rais Ebrahim Raisi amesema: kutokana na basira na kuwa macho wananchi wa Iran, mahesabu ya adui katika njama ya karibuni yameenda kombo sawa na ilivyokuwa katika fitna za huko nyuma.

  • Raisi: Adui ameibua ghasia ili kukwamisha ustawi wa uchumi wa Iran

    Raisi: Adui ameibua ghasia ili kukwamisha ustawi wa uchumi wa Iran

    Dec 14, 2022 07:49

    Rais Ebrahim Raisi wa Iran amesema maadui wanafanya juu chini ili kuwashughulisha na fujo na ghasia wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu, wakiwa na lengo la kukwamisha ustawi wa uchumi wa taifa hili.

  • Rais Raisi: Misimamo ya rais wa China wakati wa safari yake katika eneo imeisikitisha Iran

    Rais Raisi: Misimamo ya rais wa China wakati wa safari yake katika eneo imeisikitisha Iran

    Dec 13, 2022 09:41

    Rais Ebrahim Raisi amesema, baadhi ya misimamo iliyotangazwa katika safari ya karibuni ya rais wa China katika eneo imelisikitisha taifa na serikali ya Iran.

  • Mkutano wa kimataifa wa mazungumzo ya Uislamu na Uhindu mjini New Delhi India

    Mkutano wa kimataifa wa mazungumzo ya Uislamu na Uhindu mjini New Delhi India

    Dec 13, 2022 08:20

    Duru ya tatu ya mkutano wa kimataifa wa mazungumzo ya Uislamu na Uhindu iliyokuwa na anuani ya "Mchango wa Dini wa Kuishi Pamoja Katika Amani na Ustawi" umefanyika mjini New Delhi kwa kuhudhuriwa na makhatibu, shakhsia wenye vipawa na Maulamaa wa Iran na India.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS