-
Tehran yaiasa China iheshimu visiwa vya Ghuba ya Uajemi, milki ya Iran
Dec 12, 2022 07:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameiasa China iheshimu mamlaka kamili ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran juu ya visiwa vyake vitatu vya eneo la Ghuba ya Uajemi.
-
Jibu la Iran kwa taarifa ya pamoja ya China na Saudia na madai yaliyoibuliwa
Dec 11, 2022 23:11Mohammad Jamshidi, Mkuu wa masuala ya kisiasa katika Ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameandika ujumbe kwenye ukurasa wake wa Twitter kujibu matamshi ya Rais wa China aliyotoa wakati wa ziara yake nchini Saudi Arabia.
-
Raisi: Damu toharifu za 'mashahidi wa usalama' zinawatia kiwewe maadui
Dec 09, 2022 22:53Rais wa Iran amesema damu toharifu za maafisa usalama wa Jamhuri ya Kiislamu waliouawa shahidi zimewakasirisha na kuwatia kiwewe maadui wa taifa hili.
-
Hatua mpya za nchi za Magharibi za kuzuia matangazo ya Press TV; nembo ya vita vya mseto dhidi ya Iran
Dec 08, 2022 23:07Shirika la huduma za satalaiti la Intelsat la Ufaransa limetangaza kukata matangazo ya televisheni ya Press TV ya Iran wiki chache baada ya vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya televisheni hii ambayo hurusha matangazo yake kwa lugha ya Kiingereza duniani kote.
-
Raisi: Wairani hawawezi kuhadaiwa na nara bandia za 'uhuru'
Dec 08, 2022 09:19Rais wa Iran amesema Wamagharibi kamwe hawawezi kuwahadaa wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu kwa kutumia nara bandia za 'uhuru'
-
Kukiri Marekani na Israel kuhusu kutotetereshwa Iran na machafuko ya hivi karibuni
Dec 06, 2022 10:16Sambamba na himaya na uungaji mkono wa Marekani kwa wafanya fujo na machafuko nchini Iran, wachambuzi waandamizi wa masuala ya usalama wa Marekani na utawala haramu wa Israel wamekiri kwamba, Iran haijatetereshwa na machafuko hayo ya hivi karibuni.
-
Jumanne tarehe 6 Disemba 2022
Dec 05, 2022 22:45Leo ni tarehe 11 Jumadil Ula 1444 Hijria sawa na Disemba 6 mwaka 2022.
-
Iran: Hatuko tayari kufanya mazungumzo chini ya vitisho na mashinikizo
Dec 05, 2022 07:34Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa: viongozi wa Marekani wanajua kwamba Iran haiko tayari kufanya mazungumzo na kuridhia kutoa fursa kwa mashinikizo na vitisho, kwa sababu mapatano yana mantiki yake; na msimamo wa Iran kuhusiana na mazungumzo ya JCPOA uko wazi kabisa.
-
Baqeri: Marekani imeshindwa kuifanya dunia ifuate amri zake
Dec 04, 2022 00:13Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran amesema Wamarekani wanatambua wazi kuwa wamefeli katika juhudi zao za kuunda dunia yenye kufuata sera, amri na mienendo ya Washington.
-
Raisi: Katiba inawadhaminia haki na uhuru wananchi wa Iran
Dec 03, 2022 08:34Rais Ebrahim Raisi wa Iran amesema Katiba ya Jamhuri ya Kiislamu ndiyo mdhamini wa haki na uhuru wa kisheria wa wananchi wa taifa hili.