Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Brigedia Jenerali Salami: Ndoto za maadui kuhusu Iran hazitatimia

    Brigedia Jenerali Salami: Ndoto za maadui kuhusu Iran hazitatimia

    Dec 01, 2022 23:14

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) amesema kuwa wakuu wa Israel na Marekani wanahusika na ghasia na machafuko na wanaota ndoto nyingi kuhusu Iran ambazo hata hivyo hazitatimia.

  • Biashara baina ya Iran, Afrika yapindukia dola milioni 990 ndani ya miezi 7

    Biashara baina ya Iran, Afrika yapindukia dola milioni 990 ndani ya miezi 7

    Dec 01, 2022 23:13

    Miamala ya kibiashara kati ya Jamhuri ya Kiislamu na nchi za Afrika imepindukia dola milioni 990 za Marekani katika kipindi cha miezi saba iliyopita.

  • Iran: Kombe la Dunia limeonesha namna utawala wa Kizayuni unavyochukiwa na walimwengu

    Iran: Kombe la Dunia limeonesha namna utawala wa Kizayuni unavyochukiwa na walimwengu

    Nov 30, 2022 09:30

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel unachukiwa na mataifa mengi ya dunia.

  • Malengo ya maadui ya kufuatilia kuligawa taifa la Iran

    Malengo ya maadui ya kufuatilia kuligawa taifa la Iran

    Nov 29, 2022 23:11

    Baada ya hivi karibuni kuzuka vurugu na machafuko mapya nchini Iran maadui sugu wa mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu walichukua hatua ya kufuatilia senario ya kuligawa taifa hili katika kambi mbili.

  • Iran yamtia mbaroni kinara wa chombo cha kigaidi cha 'Iran International'

    Iran yamtia mbaroni kinara wa chombo cha kigaidi cha 'Iran International'

    Nov 28, 2022 04:36

    Vyombo vya usalama vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vimemtia mbaroni kinara wa chombo cha habari cha kigaidi kinachojiita 'Iran International' huko kaskazini magharibi mwa nchi.

  • Shirikisho la Soka la Marekani lasalimu amri mkabala wa Iran

    Shirikisho la Soka la Marekani lasalimu amri mkabala wa Iran

    Nov 28, 2022 03:32

    Shirikisho la Soka la Marekani limelazimika kuondoa bendera ya Iran isiyo na nembo halisi ya Jamhuri ya Kiislamu kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii, na kuweka iliyo sahihi, kufuatia malalamiko ya Tehran.

  • Njama na hila za adui wa taifa la Iran za kulazimisha JCPOA 2 na JCPOA 3

    Njama na hila za adui wa taifa la Iran za kulazimisha JCPOA 2 na JCPOA 3

    Nov 27, 2022 09:28

    Baada ya Iran na nchi zilizounda kundi la 5+1 kufikia mwafaka Julai 2015 juu ya kadhia ya nyuklia ya Iran na kusaini Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji, kwa kifupi JCPOA, nchi za Magharibi zikiongozwa na Marekani, -iwe ni baada ya kuanza kutekelezwa JCPOA mnamo mwaka 2016 au baada ya kujitoa Marekani kwenye makubaliano hayo Mei 2018, na hata katika kipindi cha sasa kufuatia duru kadhaa za mazungumzo ya Vienna ya uondoaji vikwazo vya kidhalimu-

  • Ujerumani, mkiukaji mkubwa wa haki za binadamu katika joho la mtetezi wa haki za binadamu

    Ujerumani, mkiukaji mkubwa wa haki za binadamu katika joho la mtetezi wa haki za binadamu

    Nov 26, 2022 23:00

    Ujerumani, kama mwanachama wa Umoja wa Ulaya, pamoja na Marekani, imechukua mtazamo wa kiadui na kuingilia masuala ya ndani ya Iran wakati wa machafuko na ghasia za hivi karibuni.

  • Uungaji mkono wa Marekani kwa makundi yanayotaka kujitenga ya Iran

    Uungaji mkono wa Marekani kwa makundi yanayotaka kujitenga ya Iran

    Nov 25, 2022 23:01

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imelaani operesheni za kijeshi Iran dhidi ya makundi ya kigaidi ya Wakurdi wanaotaka kujitenga yaliyoko kaskazini mwa Iraq na imeitaka Tehran kusitisha mashambulizi hayo.

  • Kombe la Dunia: Iran yaichapa Wales 2-0 na kuhuisha matumaini ya kusonga mbele

    Kombe la Dunia: Iran yaichapa Wales 2-0 na kuhuisha matumaini ya kusonga mbele

    Nov 25, 2022 09:28

    Timu ya taifa ya soka ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iimeichapa Wales mabao 2 kwa 0 katika fainali za mashindano ya soka ya Kombe la Dunia yanayoendelea nchini Qatar.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS