-
Iran inazalisha asilimia 98 ya dawa zake ndani ya nchi
Aug 27, 2022 06:47Shirika la Dawa na Chakula la Iran (FDA) limesema asilimia 98 ya dawa zilizoko nchini zinazalishwa na wataalamu wa taifa hili, na kwamba Jamhuri ya Kiislamu ni miongoni mwa nchi 20 duniani zinazojizalishia dawa kwa kutumia teknolojia ya hali ya juu.
-
Kuundwa serikali ya wote, msimamo wa kiistratijia wa Iran kuhusu Afghanistan
Aug 26, 2022 03:06Mwaka mzima umepita tangu kuingia tena madarakani kundi la Taliban nchini Afghanistan, lakini hadi hizi sasa kundi hilo halijatambuliwa kimataifa kutokana na misimamo yake.
-
Zanzibar: Tuna hamu ya kupanua uhusiano wetu na Iran
Aug 26, 2022 02:59Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa Zanzibar amesema anatumai kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zitaimarisha na kupanua uhusiano wao wa pande mbili.
-
Iran yakosoa mkutano wa NPT kwa kutoshinikiza Israel ijiunge na mkataba huo
Aug 25, 2022 23:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameukosoa vikali Mkutano wa Kumi wa Kuangalia Upya Maazimio ya Nchi Wanachama wa Mkataba wa Kuziia Uzalishaji na Usambazi za Silaha za Nyuklia NPT unaofanyika huko New York, kwa kukataa kutoa mwito kwa utawala wa Kizayuni wa Israel kujiunga na mkataba huo wa kimataifa.
-
Majibu ya Marekani kuhusu JCPOA na kuendelea tuhuma zisizo na msingi dhidi ya Iran
Aug 25, 2022 03:36Edward "Ned" Price, msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Marekani alisema jana Jumatano kuwa, Washington imetoa majibu kuhusu mitazamo ya Iran juu ya mazungumzo ya kuondolewa vikwazo Tehran. Amesema: Uchunguzi wetu kuhusu mitazamo ya Iran umekamilika na leo (Jumatano) tumekabidhi mapendekezo yetu kwa Umoja wa Ulaya.
-
Jeshi la Iran laendeleza mazoezi ya ndege za kivita zisizo na rubani
Aug 25, 2022 03:35Mazoezi ya Pamoja ya Ndege Zisizo na Rubani (droni) 1401 ya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yameendelea kwa siku ya pili leo ambapo droni za kivita zimefanikiwa kutekeleza oparesheni zao kwa mafanikio.
-
Amir-Abdollahian: Afrika ni moja ya vipaumbele vikuu vya diplomasia ya kiuchumi ya Iran
Aug 25, 2022 06:54Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran aliyeko ziarani nchini Tanzania amesema kuwa, bara la Afrika ni moja ya vipaumbele vikuu vya diplomasia ya kiuchumi ya Iran.
-
Iran kuunda ndege ya abiria ya viti 50 karibuni
Aug 24, 2022 23:11Mkuu wa Shirika la Uchukuzi wa Anga la Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu imeandaa mikakati ya kuzalisha ndege yake ya abiria karibuni hivi.
-
Iran: Israel inapaswa kuharibu silaha zake za nyuklia na ijiunge na NPT
Aug 23, 2022 23:50Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ameutaka utawala wa Kizayuni wa Israel uharibu silaha zake za nyuklia na ujiunge haraka na Mkataba za Kuzuia Uzalishaji na Usambazaji wa Silaha za Nyuklia (NPT).
-
Jeshi la Iran kufanya maneva ya kijeshi ya droni
Aug 23, 2022 23:48Jeshi la Iran leo Jumatano linatazamiwa kuzindua luteka ya kijeshi itakayohusisha ndege zisizo na rubani (droni).