Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Jenerali Hajizadeh: Leo tunauza nje ya nchi makombora na ndege zisizo na rubani

    Jenerali Hajizadeh: Leo tunauza nje ya nchi makombora na ndege zisizo na rubani

    Aug 23, 2022 03:31

    Kamanda wa Kikosi cha Anga za Mbali cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC amesema: "huko nyuma, sisi hatukuwa na wowote kati ya uwezo tulionao leo hii, na hivi sasa tunauza nje ya nchi makombora na ndege zisizo na rubani.

  • Rais Ebarahim Raisi: Iran ni tumaini la wanyonge na majuto kwa mabeberu

    Rais Ebarahim Raisi: Iran ni tumaini la wanyonge na majuto kwa mabeberu

    Aug 22, 2022 20:55

    Rais Ebrahim Raisi amesema kuwa, licha ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa chini ya mashinikizo makubwa ya kila upande kwa makumi ya miaka sasa, lakini vijana wa nchi hii wakiwemo wa sekta ya ulinzi wamepiga hatua kubwa ya kujivunia.

  • Iran: Hatujapokea jibu la US kuhusu mapendekezo ya Ulaya

    Iran: Hatujapokea jibu la US kuhusu mapendekezo ya Ulaya

    Aug 22, 2022 06:50

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu haijapokea majibu kutoka kwa Marekani juu ya mapendekezo yaliyotolewa na Umoja wa Ulaya kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Salami: Hujuma dhidi ya nafsi na akili, stratejia hatari ya adui

    Salami: Hujuma dhidi ya nafsi na akili, stratejia hatari ya adui

    Aug 21, 2022 23:53

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ametahadharisha kuwa, stratejia hatari zaidi ambayo adui ameamua kutumia ni vita vya kinafasi na kisaikolojia.

  • Ibrahim Raeisi: Hakuna mazungumzo yoyote yatakayoifanya Iran ilegeze msimamo katika haki zake

    Ibrahim Raeisi: Hakuna mazungumzo yoyote yatakayoifanya Iran ilegeze msimamo katika haki zake

    Aug 21, 2022 06:47

    Rais Ibrahim Raeisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hakuna kikao au mazungumzo yoyote yale ambayo yatalifanya taifa hili lilegeze kamba na kufumbia macho haki zake.

  • Wazayuni wajuta kumshinikiza Trump ajitoe katika makubaliano ya nyuklia JCPOA mwaka 2018

    Wazayuni wajuta kumshinikiza Trump ajitoe katika makubaliano ya nyuklia JCPOA mwaka 2018

    Aug 20, 2022 22:15

    Wakuu wa masuala ya usalama wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wameonyesha majuto kwa hatua ya utawala huo ya kumshinikiza rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ajitoe kwenye makubaliano ya nyuklia JCPOA mwaka 2018.

  • Iran yatoa pongezi kufuatia kufanyika uchaguzi wenye mafanikio Kenya

    Iran yatoa pongezi kufuatia kufanyika uchaguzi wenye mafanikio Kenya

    Aug 19, 2022 23:21

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepongeza wananchi na serikali ya Kenya kwa kufanyika kwa mafanakio uchaguzi wa rais wa nchi hiyo.

  • Abu Turabi Fard: Mateka wa vita wa Iran walizigeuza kambi za Kibaathi madrasa za mafunzo ya Ashura

    Abu Turabi Fard: Mateka wa vita wa Iran walizigeuza kambi za Kibaathi madrasa za mafunzo ya Ashura

    Aug 19, 2022 08:35

    Imamu wa muda wa Sala ya Ijumaa ya Tehran amesema, kwa muda wote walipokuwa wakishikiliwa mateka, mateka wa kivita wa Iran walizigeuza kambi za Kibaathi madrasa za mafunzo na mafundisho ya Ashura.

  • Iran yalaani hujuma ya kigaidi iliyoua makumi msikitini Kabul

    Iran yalaani hujuma ya kigaidi iliyoua makumi msikitini Kabul

    Aug 18, 2022 23:35

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani shambulio la kigaidi lililopelekea kuuawa makumi ya watu katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul.

  • Qalibaf: Marekani ingali inafuatilia sera za ubeberu dhidi ya Iran

    Qalibaf: Marekani ingali inafuatilia sera za ubeberu dhidi ya Iran

    Aug 17, 2022 07:57

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema Marekani ya leo, ndiyo ile ile ya huko nyuma ya wakati wa mapinduzi ya serikali Iran ya mwaka 1953 (Mapinduzi ya Mordad 28).

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS