Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Radiamali ya Iran, China kwa safari ya Pelosi katika kisiwa cha Taiwan

    Radiamali ya Iran, China kwa safari ya Pelosi katika kisiwa cha Taiwan

    Aug 03, 2022 07:44

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa safari ya Nancy Pelosi, Spika wa Kongresi ya Marekani katika kisiwa cha Taiwan na kubainisha kuwa, ziara hiyo ni muendelezo wa mienendo ya kichokozi na kichokezi ya Washington.

  • China yaitaka Marekani iiondolee Iran vikwazo haramu

    China yaitaka Marekani iiondolee Iran vikwazo haramu

    Aug 03, 2022 07:27

    Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Kudhibiti Silaha katika Wizara ya Mambo ya China ameitaka Marekani iiondolee Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vikwazo haramu.

  • Kani: Iran iko tayari kuipa Marekani fursa nyingine ya kujirudi

    Kani: Iran iko tayari kuipa Marekani fursa nyingine ya kujirudi

    Jul 31, 2022 22:17

    Kiongozi wa timu ya Iran katika mazungumzo ya nyuklia ya Vienna amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ipo tayari kutamatisha mazungumzo ya kuiondolea vikwazo Tehran haraka iwezekanavyo, sanjari na kuipa Marekani fursa nyingine ya kurekebisha makosa yake.

  • Raisi: Mahudhurio ya wananchi katika medani ndio nguzo kuu ya nguvu na usalama wa taifa

    Raisi: Mahudhurio ya wananchi katika medani ndio nguzo kuu ya nguvu na usalama wa taifa

    Jul 28, 2022 10:30

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kwamba mahudhurio na kushiriki wananchi katika nyanja mbalimbali za maendeleo ya taifa ndio sehemu muhimu zaidi ya nguvu ya kitaifa na usalama wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Abdollahian: Iran iko tayari kuitatulia dunia mgogoro wa nishati

    Abdollahian: Iran iko tayari kuitatulia dunia mgogoro wa nishati

    Jul 27, 2022 21:52

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ipo tayari kukidhi mahitaji ya nishati ya jamii ya kimataifa.

  • Karibuni hivi Ugiriki itarejesha shehena ya mafuta ya Iran iliyoiba

    Karibuni hivi Ugiriki itarejesha shehena ya mafuta ya Iran iliyoiba

    Jul 26, 2022 22:32

    Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Ugiriki umetangaza kuwa operesheni ya kuyahamisha na kuyarejesha mafuta ya Iran yaliyoibwa itaanza hivi karibuni.

  • "Marekani ikiwa na irada ya kisiasa kama Iran, makubaliano yatafikiwa"

    Jul 25, 2022 06:19

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu haitakubali kushinikizwa juu ya kufikia haraka muafaka wa kujaribu kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Iran yavunja mtandao wa majasusi wa Mossad ya Israel

    Iran yavunja mtandao wa majasusi wa Mossad ya Israel

    Jul 24, 2022 03:14

    Wizara ya Intelijensia ya Iran imetangaza habari ya kutiwa mbaroni majasusi kadhaa waliokuwa wakitumikia shirika la ujasusi la Israel (Mossad).

  • Mazungumzo kati ya marais wa Iran na Ufaransa; Raisi akosoa sera za kuzusha migogoro za Wamagharibi

    Mazungumzo kati ya marais wa Iran na Ufaransa; Raisi akosoa sera za kuzusha migogoro za Wamagharibi

    Jul 24, 2022 03:04

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, zzimio lililotolewa na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki dhidi ya Iran ni hatua ya kuzusha mgogoro iliyokuwa na lengo la kuliwekea mashinikizo taifa la Iran.

  • Raisi: Azimio la IAEA dhidi ya Iran lilitia doa muamana wa kisiasa

    Raisi: Azimio la IAEA dhidi ya Iran lilitia doa muamana wa kisiasa

    Jul 23, 2022 22:57

    Rais wa Iran amesema azimio dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu katika Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) lilikuwa na taathira hasi kwa muamana na irada ya kisiasa ya pande husika.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS