-
China: Vikwazo vya US vimeisababishia Iran hasara ya dola bilioni 200
Aug 12, 2022 21:00China imesema vikwazo haramu na vya upande mmoja vya Marekani dhidi ya Iran vimelisababishia taifa hili la Kiislamu hasara ya mabilioni ya dola.
-
Jeshi la Majini la Iran lazima shambulio la maharamia Bahari Nyekundu
Aug 11, 2022 03:24Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetangaza kuwa makomandoo wa jeshi hilo wamezima hujuma ya maharamia dhidi ya meli ya kibiashara ya Iran katika Bahari Nyekundu.
-
Iran yajitenga na madai ya kijuba ya kutaka kumuua Bolton
Aug 11, 2022 02:54Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imepinga madai ya kiwendawazimu na yasiyo na msingi yaliyotolewa na serikali ya Washington ikidai kuwa raia mmoja wa nchi hii alikula njama ya kumuua John Bolton, mshauri wa zamani wa Usalama wa Kitaifa wa Ikulu ya White House ya Marekani.
-
Wairani waandamana kulaani ukatili wa Israel dhidi ya wakazi wa Gaza
Aug 10, 2022 06:54Wananchi wa Iran jana Jumanne walifanya maandamano katika mji mkuu Tehran kulaani jinai za utawala wa Kizayuni za kuwaua shahidi wanawake na watoto wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Marekani yatiwa kiwewe na hatua ya Iran kurusha satalaiti anga za mbali
Aug 10, 2022 06:51Marekani imeghadhabishwa na hatua ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ya kurusha satalaiti katika anga za mbali kwa mafanikio, kwa kutumia roketi la Russia.
-
Satalaiti ya Khayyam; hatua muhimu katika harakati ya Iran ya kuzitumia anga za mbali
Aug 09, 2022 21:00Waziri wa Habari na Mawasiliano na Teknolojia wa Iran Issa Zarepour ametangaza kuwa satalaiti ya Kiirani ya Khayyam jana Jumanne ilipaa kuelekea anga za mbali umbali wa kilomita 500 kutoka ardhini.
-
Abdollahian awapongeza wanamuqwama kwa kukabiliana na wanajeshi wa Kizayuni
Aug 09, 2022 20:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kwa mara nyingine tena wanajihadi za harakati za muqawama wa Palestina wameweza kusimama kidete mkabala wa nguvu kubwa za kijeshi za utawala wa Kizayuni, na hatimaye wakawalazimisha maadui kusalimu amri na kuafiki kusitisha vita.
-
Sayyid Nasrullah: Iran ndio moyo wa Uislamu na mrengo wa muqawama
Aug 09, 2022 20:52Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndio moyo wa Uislamu na mrengo wa muqawama wa Kiislamu duniani.
-
Iran yalaani kuvunjiwa heshima Qurani, matukufu ya Kiislamu Ujerumani
Aug 08, 2022 02:29Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekosoa vikali kitendo cha kichochezi cha kuvunjiwa heshima Qurani Tukufu, na kutusiwa matukufu ya Kiislamu nchini Ujerumani.
-
Sisitizo la Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran kuhusu kuunga mkono sera ya China Moja
Aug 05, 2022 02:40Hossein Amirabdollahian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza uungaji mkono wa Iran kwa sera ya "China Moja" na kusema: 'Hatua za kichochezi za Marekani zimekuwa tishio kubwa kwa amani na uthabiti wa kimataifa.'