-
Iran yawatia mbaroni wanachama wa ISIS waliotaka kushambulia maombolezo ya Muharram
Aug 04, 2022 20:45Wizara ya Intelijensia ya Iran imetangaza habari ya kutiwa mbaroni wanachama kumi wenye mfungamano na Wazayuni wa kundi la kigaidi na kitakfiri la ISIS (Daesh).
-
Ukosoaji wa Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran dhidi ya wanaodai kutetea haki za binadamu
Aug 04, 2022 03:19Hujjatul Islam wal Muslimin Gholamhossein Mohseni-Ejei, Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran, amekosoa utendakazi wa wale wanaodai kutetea haki za binadamu na kusema: Wanaodai kutetea haki za binadamu huko Magharibi hawawezi hata kueleza maana ya mwanadamu kwa njia sahihi.
-
Mjukuu wa Mandela: Mapinduzi ya Kiislamu yameipa ilhamu Afrika Kusini
Aug 03, 2022 08:02Mjukuu wa rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela amesema Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yanatoa ilhamu na motisha kwa taifa hilo la kusini mwa Afrika.
-
Radiamali ya Iran, China kwa safari ya Pelosi katika kisiwa cha Taiwan
Aug 03, 2022 07:44Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa safari ya Nancy Pelosi, Spika wa Kongresi ya Marekani katika kisiwa cha Taiwan na kubainisha kuwa, ziara hiyo ni muendelezo wa mienendo ya kichokozi na kichokezi ya Washington.
-
China yaitaka Marekani iiondolee Iran vikwazo haramu
Aug 03, 2022 07:27Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Kudhibiti Silaha katika Wizara ya Mambo ya China ameitaka Marekani iiondolee Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vikwazo haramu.
-
Kani: Iran iko tayari kuipa Marekani fursa nyingine ya kujirudi
Jul 31, 2022 22:17Kiongozi wa timu ya Iran katika mazungumzo ya nyuklia ya Vienna amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ipo tayari kutamatisha mazungumzo ya kuiondolea vikwazo Tehran haraka iwezekanavyo, sanjari na kuipa Marekani fursa nyingine ya kurekebisha makosa yake.
-
Raisi: Mahudhurio ya wananchi katika medani ndio nguzo kuu ya nguvu na usalama wa taifa
Jul 28, 2022 10:30Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kwamba mahudhurio na kushiriki wananchi katika nyanja mbalimbali za maendeleo ya taifa ndio sehemu muhimu zaidi ya nguvu ya kitaifa na usalama wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Abdollahian: Iran iko tayari kuitatulia dunia mgogoro wa nishati
Jul 27, 2022 21:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ipo tayari kukidhi mahitaji ya nishati ya jamii ya kimataifa.
-
Karibuni hivi Ugiriki itarejesha shehena ya mafuta ya Iran iliyoiba
Jul 26, 2022 22:32Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Ugiriki umetangaza kuwa operesheni ya kuyahamisha na kuyarejesha mafuta ya Iran yaliyoibwa itaanza hivi karibuni.
-
"Marekani ikiwa na irada ya kisiasa kama Iran, makubaliano yatafikiwa"
Jul 25, 2022 06:19Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu haitakubali kushinikizwa juu ya kufikia haraka muafaka wa kujaribu kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.