Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Amir-Abdollahian: Tunatumai ushirikiano wa Iran na Saudia utasaidia kutatua matatizo ya Ulimwengu wa Kiislamu

    Amir-Abdollahian: Tunatumai ushirikiano wa Iran na Saudia utasaidia kutatua matatizo ya Ulimwengu wa Kiislamu

    Feb 04, 2022 04:40

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Iran na Saudi Arabia ni nchi muhimu katika eneo na Ulimwengu wa Kiislamu na akaeleza kwamba ana matumaini ushirikiano baina ya nchi hizo mbili utasaidia kutatua matatizo ya eneo na ya Ulimwengu wa Kiislamu.

  • Abdollahian: Iran yataka kufikiwa makubaliano ya kudumu na ya kutegemewa Vienna

    Abdollahian: Iran yataka kufikiwa makubaliano ya kudumu na ya kutegemewa Vienna

    Feb 03, 2022 09:26

    Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ipo tayari kufikia makubaliano ya kudumu na ya kutegemewa baina yake na kundi la 4+1 katika mazungumzo ya kujaribu kuhuisha mapatano ya nyuklia ya JCPOA huko Vienna, Austria.

  • Jumatano tarehe Pili Februari 2022

    Jumatano tarehe Pili Februari 2022

    Feb 01, 2022 23:02

    Leo ni tarehe 30 Jamadithania 1443 Hijria inayosadifiana na Februari Pili mwaka 2022.

  • Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu; ushindi wa ngome ya uzalishaji katika vita vya kiuchumi vya adui

    Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu; ushindi wa ngome ya uzalishaji katika vita vya kiuchumi vya adui

    Jan 31, 2022 00:31

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, kusimama kidete sekta ya uzalishaji bidhaa za ndani mbele ya hujuma za kiuchumi na njama za adui za kujaribu kuizuia Iran isiuze mafuta na gesi yake, na pia kusimama imara mbele ya vita vya kuifungia Tehran vyanzo vya fedha za kigeni na kupanga njama za kuzuia mabadilishano ya kibiashara ya Iran na nchi nyingine, kwa hakika ni jihadi na ni miongoni mwa ibada kubwa kabisa.

  • Marais wa Iran na Ufaransa wajadili suala la kuondolewa vikwazo Tehran

    Marais wa Iran na Ufaransa wajadili suala la kuondolewa vikwazo Tehran

    Jan 29, 2022 23:56

    Rais wa Iran amesisitiza juu ya udharura wa kuondolewa vikwazo wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu, katika mazungumzo yake ya simu na mwenzake wa Ufaransa.

  • Maandamano ya kuwaunga mkono watu wanaodhulumiwa wa Yemen yafanyika nchini Iran

    Maandamano ya kuwaunga mkono watu wanaodhulumiwa wa Yemen yafanyika nchini Iran

    Jan 28, 2022 23:29

    Maelfu ya wananchi katika miji mingi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameshiriki katika maandamano ya kuunga mkono taifa linalodhulumiwa la Yemen na kulaani jinai zinazotendwa na muungano vamizi unaoongozwa na Saudia dhidi ya taifa hilo.

  • Umuhimu wa safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar mjini Tehran

    Umuhimu wa safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar mjini Tehran

    Jan 28, 2022 04:54

    Mohammed bin Abdulrahman Al-Thani, Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu wa nchi hiyo siku ya Alhamisi alifanya ziara mjini Tehran ambapo alionana na kuzungumza na waziri mwenzake wa Mambo ya Nje wa Iran Hussein Amir Abdollahian.

  • Iran yajibu uropokaji wa Uingereza kuhusu mazungumzo ya JCPOA

    Iran yajibu uropokaji wa Uingereza kuhusu mazungumzo ya JCPOA

    Jan 27, 2022 04:29

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali bwabwaja mpya zilizotolewa na Uingereza juu ya mazungumzo ya kufufua makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yanayoendelea huko Vienna, Austria.

  • Mazungumzo ya Vienna; ufunguo wa makubaliano yoyote ni kuondolewa vikwazo vya kidhalimu dhidi ya taifa la Iran

    Mazungumzo ya Vienna; ufunguo wa makubaliano yoyote ni kuondolewa vikwazo vya kidhalimu dhidi ya taifa la Iran

    Jan 26, 2022 23:05

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Ebrahim Raisi ameeleza kuwa, ufunguo wa mapatano yoyote ya kuhuisha mapatano ya nyuklia ya JCPOA ni kuondolewa vikwazo vya kidhalimu dhidi ya wananchi wa Iran.

  • Iran: Hatujaamua kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na Marekani

    Iran: Hatujaamua kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na Marekani

    Jan 25, 2022 04:35

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu haijafikia uamuzi wa kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na Marekani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS