-
Rouhani atuma ujumbe UN; aitolea wito jamii ya kimataifa kukabiliana na utawala wa Kizayuni
Dec 01, 2020 23:09Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe kwa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kushikamana na Wananchi wa Palestina na kuitolea mwito jamii ya kimataifa kukabiliana na hatua za utawala wa Kizayuni unaouwa watoto.
-
Iran ni nchi pekee iliyo na benki ya macho katika eneo la Asia Magharibi
Dec 01, 2020 04:43Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Tiba cha Shahidi Beheshti cha hapa nchini amesema kuwa benki pekee inayoshughulikia matatizo ya macho katika eneo la Asia magharibi ni ya Iran.
-
Iran yataka Baraza la Usalama la UN lichunguze mauaji ya Fakhrizadeh
Nov 29, 2020 08:50Naibu Waziri wa Sheria wa Iran ametoa wito kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuchunguza mauaji ya mwanasayansi wa nyuklia wa Iran shahidi Mohsen Fakhrizadeh.
-
Malengo ya madai na harakati dhidi ya Iran za pande tatu za Trump, Netanyahu na bin Salman
Nov 28, 2020 22:00Baada ya kubainika kushindwa Donald Trump katika uchaguzi wa rais nchini Marekani, kumejiri harakati na kutolewa matamshi mbalimbali; na baadhi ya vyombo vya habari vimetangaza juu ya uwezekano wa Marekani na Israel kuishambulia kijeshi Iran.
-
Trump athibitisha kuhusika Mossad katika mauaji ya shahidi Fakhrizadeh
Nov 28, 2020 04:16Hatua ya rais wa Marekani ya kuusambaza ujumbe ulioandikwa na mwandishi mmoja wa habari wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel imethibitisha kwa njia isiyo ya moja kwa moja kuhusika utawala huo katika mauaji ya mwanasayansi wa nyuklia wa Iran.
-
Foreign Policy: Iran ni imara zaidi ya walivyofikiria Marekani na Israel
Nov 26, 2020 23:14Gazeti moja la Marekani limetangaza kuwa, White House na utawala wa Kizayuni wa Israel walikosea katika mahesabu yao kuhusiana na Iran kwani Tehran ni imara zaidi ya walivyodhani viongozi wa Marekani katika siasa zao za kuliweketa taifa la Iran vikwazo vya kiwango cha juu kupindukia.
-
Serikali ya Trump yazidi kutoa vitisho kuhusu uwezekano wa Marekani kurejea katika JCPOA
Nov 26, 2020 22:59Mshauri wa Usalama wa Taifa wa serikali ya Donald Trump huko White House ameendelea kutoa vitisho alivyodai ni vya hatari ya Marekani kurejea katika mapatano ya kimataifa ya JCPOA.
-
Sisitizo la Venezuela la kuimarisha uhusiano wa kistratijia na Iran
Nov 26, 2020 22:57Katika miezi michache iliyopita ushirikiano wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Venezuela umekuwa ukiimarika katika nyanja tofauti.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela asisitiza kuimarishwa uhusiano wa kistratejia na Iran
Nov 26, 2020 01:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela amesisitiza kuwa serikali za sasa za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Venezuela zimeandaa nyanja za kupanua na kuimarisha uhusiano wao na kwamba nchi yake ina hamu kubwa ya kuimarisha uhusiano wa kistratejia na Iran.
-
Mousavi: Iran ina hamu ya kuona utulivu na amani inatawala katika eneo hili zima
Nov 24, 2020 03:48Msemaji wa zamani wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye sasa ni balozi wa Iran nchini Azerbaijan amesema kuwa, Tehran ina hamu ya kuona utulivu na amani ya kudumu inapatikana katika eneo hili zima.