-
Iran na Nigeria kushirikiana zaidi katika masuala ya nishati
Sep 23, 2020 23:13Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Nigeria zimetilia mkazo wajibu wa kustawishwa uhusiano wao katika nyuga mbalimbali hasa za nishati kwa kadiri inavyowezekana.
-
Kamanda Fadavi: Marekani haitoweza kuunda muungano dhidi ya Iran
Sep 23, 2020 23:12Kaimu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amesema kuwa, njama za Marekani za kuunda muungano ulio dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zitashindwa tu.
-
Alkhamisi, tarehe 24 Septemba, 2020
Sep 23, 2020 23:10Leo ni Alkhamisi tarehe 6 Safar 1442 Hijria sawa na Septemba 24 mwaka 2020.
-
Balozi wa Iran UN: Vikwazo vya Marekani ni jinai dhidi ya binadamu
Sep 23, 2020 03:49Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa iliyoko mjini Geneva Uswisi amesema vikwazo vya upande mmoja vya Marekani dhidi ya Iran ni jinai dhidi ya binadamu.
-
Russia kuendelea kushirikiana kijeshi na Iran licha ya vikwazo vya Marekani
Sep 22, 2020 22:04Seneta mmoja wa Russia amesema nchi hiyo itaendelea kuwa na ushirikiano na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika uga wa kijeshi licha ya uhasama, vikwazo na mashinikizo ya Marekani.
-
Grossi apongeza mapatano yaliyofikiwa kati ya wakala wa IAEA na Iran
Sep 21, 2020 23:05Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) kwa mara nyingine tena amepongeza mapatano yaliyofikiwa baina ya wakala huo na Jamhuri ya Kiislamu Iran.
-
Mazoezi ya kijeshi ya Kavkaz-2020 yaanza leo nchini Russia, Iran na China zinashiriki
Sep 21, 2020 10:07Mazoezi ya pamoja ya kijeshi yaliyopewa jina la Kavkaz-2020 yamenza leo yakishirikisha wanajeshi elfu 13 kutoka nchi za Iran, China, Pakistan, Belarus, Myanmar na mwenyeji Russia katika eneo la kusini mwa nchi hiyo.
-
Msimamo mmoja wa kundi la 4+1 mbele ya madai hewa ya Marekani kuhusu Iran
Sep 21, 2020 07:03Licha ya Marekani kutoa madai hewa ya kuanza kutekelezwa vikwazo vya kimataifa dhidi ya Iran kuanzia jana Jumapili Septemba 20, 2020 vikiwemo vikwazo vya silaha, lakini mataifa ya dunia yamepinga madai hayo ya Washington na yamechukua msimamo imara kiasi kwamba inaonekana kama vile hakuna mabadiliko yoyote yaliyotokea.
-
Khatibazadeh: Marekani inajua madai yake ya vikwazo dhidi ya Iran ni hewa
Sep 20, 2020 22:56Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran amesema tangazo la Marekani kwamba vikwazo vyote vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Tehran ambavyo vilikuwa vimeondolewa eti vimerejeshwa upya ni madai hewa, yasio na athari yoyote na yaliyo kinyume cha sheria.
-
Vurugu na machafuko Asia Magharibi; natija ya sera za Marekani
Sep 20, 2020 22:56Marekani kwa mara nyingine tena imetoa taarifa ikiituhumu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwamba, eti inazusha vurugu na machafuko katika eneo la Asia Magharibi.