-
Azimio la UN kwa ajili ya kuwaondolea vizuizi wanadiplomasia wa Iran nchini Marekani
Dec 20, 2019 02:46Marekani ambayi ni mwenyeji wa makao makuu ya Umoja wa Mataifa siku zore imekuwa ikitatiza na kuwekdea vizingiti wanadiplomasia na viongozi wa ngazi za juu wa nchi mbalimbali zinaopinga siasa za Washington.
-
Iran yakosoa azimio la kisiasa la UN juu ya haki za binadamu nchini
Dec 19, 2019 09:10Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran inakosoa vikali azimio lililopasishwa na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu eti ukiukaji wa haki za binadamu hapa nchini.
-
Rouhani: Marekani ndio mzizi wa matatizo ya Waislamu duniani
Dec 19, 2019 00:38Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uingiliaji mambo wa Marekani ndilo chimbuko la matatizo na migogoro inayoukabili uliwemwengu wa Kiislamu hii leo.
-
Iran na Russia zaonya kuhusu kuhamishiwa magaidi wa Daesh Afghanistan
Dec 18, 2019 23:02Maafisa wa ngazi za juu wa usalama wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia wameonya kuhusu njama za makusudi za kuwahamishia wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh nchini Afghanistan.
-
Qatar: Iran ni jirani muhimu kwa nchi za eneo la Ghuba ya Uajemi
Dec 17, 2019 09:32Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar Muhammad bin Abdulrahman bin Jassim Al Thani amesema, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni jirani muhimu kwa nchi za eneo la Ghuba ya Uajemi.
-
Sisistizo la Mkuu wa Sera za Kigeni wa EU kuhusu kulindwa JCPOA, akiri Iran imefungamana na mapatano hayo
Dec 17, 2019 04:38Umoja wa Ulaya, na nchi tatu muhimu za umoja huo yaani Uingereza, Ufaransa na Ujerumani maarufu kama Troika ya Ulaya, zilikuwa na nafasi muhimu katika kufikiwa mpatano ya nyuklia ya Iran maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) ambayo yalifikiwa mwaka 2015.
-
Ulimwengu wa Spoti, Dec 16
Dec 16, 2019 03:46Hujambo mpenzi msikilizaji na karibu katika dakika hizi chache za kutupia jicho matukio muhimu ya spoti na wanaspoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa……Karibu….
-
Oman na Qatar zataka kuimarisha uhusiano na Iran
Dec 15, 2019 04:31Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema taifa hili linajivunia kuwa na uhusiano mzuri na wa udugu na Oman huku akisisitizia umuhimu wa kuimarishwa uhusiano huo.
-
Waziri Mkuu wa Malaysia: Vikwazo vya US dhidi ya Iran ni haramu
Dec 15, 2019 04:19Waziri Mkuu wa Malaysia amesema vikwazo vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni batili na vya kidhalimu, na ambavyo vinakiuka Mkataba wa Umoja wa Mataifa na sheria za kimataifa.
-
Ripoti: Saudia inafanya jitihada za kuboresha uhusiano na Iran
Dec 14, 2019 04:07Gazeti la The Wall Street Journal la Marekani limeripoti kuwa, watawala wa Saudi Arabia wanafanya jitihada za chini kwa chini za kuwa na uhusiano mzuri na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na nchi nyingine za eneo la Asia Magharibi.