-
Kuwait: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haipasi kuwa chini ya vikwazo
Dec 13, 2019 23:36Mwakilishi wa Kuwait katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa amesisitiza kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haipasi kuwa chini ya vikwazo.
-
Nchi za Magharibi zinatumia vibaya suala la haki za binadamu kwa kisingizio cha kutetea watu
Dec 13, 2019 23:32Abbas Musawi, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amelaani msimamo wa hivi karibuni wa Heiko Maas, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani wa kutumia kisiasa matukio na ghasia za hivi karibuni nchini Iran.
-
Guterres asisitiza kuwa vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran vinakiuka azimio 2231
Dec 13, 2019 05:33Rais Donald Trump wa Marekani ni mpinazni mkali wa mapatano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) akiyataja kuwa ni mapatano mabaya zaidi kuwahi kufikiwa katika historia ya Marekani.
-
Aghalabu ya waliouawa katika ghasia za Iran, hawakuwapo kwenye maandamano
Dec 12, 2019 21:14Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema asilimia 85 ya watu waliouawa katika ghasia za hivi karibuni hapa jijini Tehran hawakuwepo kwenye maandamano au mikusanyiko yoyote, bali walilengwa na watu fulani kwa niaba ya maadui.
-
Nia njema na kuaminiana; mambo ya lazima ya kupatikana usalama wa Ghuba ya Uajemi
Dec 12, 2019 10:04Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiiislamu ya Iran amelaani vikali taarifa ya mwisho ya kikao cha 40 cha wakuu wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi kilichofanyika huko Riyadh mji mkuu wa Saudi Arabia na kusema kuwa, waungaji mkono wa siasa zisizo na hekima katika eneo hili la Mashariki ya Kati wanapaswa kutoa majibu na kuwajibika mbele ya fikra za waliowengi.
-
Iran: Maadui hawawezi kufunga njia ya Sheikh Ibrahim Zakzaky magharibi mwa Afrika
Dec 12, 2019 04:51Hujjatul-Islam Wal Muslimina, Ahmad Marvi ambaye anasimamia haramu ya Imam Ridha (as) katika mji wa Mash'had, kaskazini mashariki mwa Iran amesema kuwa maadui hawawezi kufuta fikra na njia ya Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria, barani Afrika kwa kuwa fikra zake zinazidi kuchanua siku hadi siku.
-
UN yapinga madai ya Marekani na Saudi Arabia kuhusu kuhusika Iran katika shambulio la Aramco
Dec 12, 2019 04:12Shambulio lililofanywa na vikosi vya muqawama vya Yemen katika taasisi za Shirika la Mafuta la Aramco mashariki mwa Saudi Arabia ni pigo kubwa kwa uwezo wa mafuta wa Saudia; kiasi kwamba lilipelekea utawala wa Saudia na mutifaki wake mkuu Marekani kuituhumu Iran kuwa ilihusika na shambulio hilo ili kuhalalisha kushindwa utawala huo huko Yemen.
-
Jumanne, tarehe 10 Disemba, 2019
Dec 09, 2019 23:22Leo ni Jumanne tarehe 13 Rabiuthani 1441 Hijria sawa na 10 Disemba 2019.
-
SPOTI, DISEMBA 9
Dec 09, 2019 03:24Ufuatao ni mkusanyiko wa baadhi ya matukio muhimu ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita kitaifa na kimataifa....
-
Watu 16,000 wajisajili kugombea ubunge Iran, ongezeko la 29%
Dec 08, 2019 09:26Mwenyekiti wa Makao Makuu ya Uchaguzi nchini Iran amesema watu 16,000 wamejiandikisha kwa ajili ya kugombea ubunge katika uchaguzi ujao hapa nchini.