Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Duru mpya ya hujuma za vikwazo vya Marekani dhidi ya nchi zingine

    Duru mpya ya hujuma za vikwazo vya Marekani dhidi ya nchi zingine

    Sep 28, 2019 04:29

    Marekani ina rekodi kubwa zaidi ya kutumia aina mbali mbali za vikwazo dhidi ya nchi zingine kwa ajili ya kufikia malengo ya siasa zake za nje. Ushadidishaji vikwazo unaofanywa na Washington katika kipindi cha urais wa Donald Trump umekuwa ukipingwa na kulaaniwa kimataifa. Pamoja na hayo kinachoendelea kushuhudiwa kila uchao ni kutangazwa vikwazo vingine vipya vya Marekani dhidi ya nchi zingine duniani.

  • Uganda yapongeza

    Uganda yapongeza "Ubunifu wa Amani ya Hormuz" wa Iran

    Sep 27, 2019 10:28

    Waziri Mkuu wa Uganda amepongeza na kukaribisha mpango wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wa "Ubunifu wa Amani ya Hormuz."

  • Agizo jipya la Trump dhidi ya maafisa wa Iran na tapatapa za mfamaji

    Agizo jipya la Trump dhidi ya maafisa wa Iran na tapatapa za mfamaji

    Sep 27, 2019 03:39

    Rais Donald Trump wa Marekani jana Alkhamisi aliendeleza sera zake za kuiweka mashinikizo ya juu zaidi kwa shabaha ya kuilazimisha Jamhuri ya Kiislamu isalimu amri mbele ya matakwa ya serikali ya Washington.

  • Iran yaitaka Uingereza iache ukhabithi na ushetani wake wa kuingilia mambo ya wengine

    Iran yaitaka Uingereza iache ukhabithi na ushetani wake wa kuingilia mambo ya wengine

    Sep 26, 2019 23:27

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Uingereza inapaswa kuacha ukhabidhi na ushetani wake wa kuingilia masuala ya eneo la Mashariki ya Kati na kuwauzia silaha wavamizi wa Yemen pamoja na kushiriki katika jinai dhidi ya binadamu ambazo zimethibitishwa pia na Umoja Mataifa.

  • Rouhani: Vikwazo vya kikatili vya Marekani vimeongeza mshikamano nchini Iran

    Rouhani: Vikwazo vya kikatili vya Marekani vimeongeza mshikamano nchini Iran

    Sep 26, 2019 09:02

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema vikwazo vya kikatili vya Marekani dhidi ya Tehran vimeshindwa kufikia malengo yake, na badala yake vimeongeza mshikamano miongoni mwa wananchi wa Iran.

  • China yalaani vikwazo vya Marekani dhidi yake kwa kununua mafuta ya Iran

    China yalaani vikwazo vya Marekani dhidi yake kwa kununua mafuta ya Iran

    Sep 26, 2019 08:51

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa China amekosoa vikali hatua ya Marekani ya kuiwekea vikwazo vipya nchi hiyo ya Asia kwa kuendelea kununua mafuta ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Muungano wa Matumaini, lugha ya amani katika kilele cha nguvu na uwezo

    Muungano wa Matumaini, lugha ya amani katika kilele cha nguvu na uwezo

    Sep 26, 2019 04:13

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, akiwa anawakilisha Wairani wote katika mkutano wa kila mwaka wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, amezungumza kuhusu amani na 'Muungano wa Matumaini' na wakati huo huo akatoa kauli yenye nguvu na kutahadharisha kuhusu chokochoko zozote dhidi ya Iran.

  • Rais Rouhani: Katu hatutofanya mazungumzo na adui chini ya vikwazo

    Rais Rouhani: Katu hatutofanya mazungumzo na adui chini ya vikwazo

    Sep 25, 2019 12:52

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ni jambo lisiloyumkinika kwa taifa hili kufanya mazungumzo na adui likiwa chini ya mashinikizo na vikwazo vya kidhalimu na vilivyo kinyume cha sheria.

  • Trump akariri tena tuhuma zake dhidi ya Iran katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa

    Trump akariri tena tuhuma zake dhidi ya Iran katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa

    Sep 25, 2019 01:13

    Rais Donald Trump wa Marekani amelitumia jukwaa la mkutano wa 74 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kukariri kwa mara nyingine tena porojo na tuhuma zake za kila siku dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Zarif na Mogherini wajadili njia za kuinusuru JCPOA

    Zarif na Mogherini wajadili njia za kuinusuru JCPOA

    Sep 24, 2019 04:29

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Mohammad Javaad Zarif amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, Federica Mogherini na wawili hao wamejadili njia za kulinda na kudumisha makubaliano ya JCPOA.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS