Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Vikwazo dhidi ya Zarif; maigizo ya kukata tamaa Marekani mbele ya nguvu ya diplomasia ya Iran

    Vikwazo dhidi ya Zarif; maigizo ya kukata tamaa Marekani mbele ya nguvu ya diplomasia ya Iran

    Aug 01, 2019 07:11

    Tangu serikali ya Rais Donald Trump ilipoingia madarakani nchini Marekani, ikiwa na lengo la kutekeleza 'siasa za mashinikizo ya kiwango cha juu zaidi' ilitanguliza mbele siasa za kuiwekea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vikwazo vya upande mmoja na vyenye wigo mpana.

  • Russia yawasilisha mpango wa usalama wa Ghuba ya Uajemi kwa Umoja wa Mataifa

    Russia yawasilisha mpango wa usalama wa Ghuba ya Uajemi kwa Umoja wa Mataifa

    Jul 30, 2019 06:24

    Uwepo wa kijeshi wa nchi za kigeni katika eneo la Ghuba ya Uajemi na taathira zake mbaya ambazo zimepelekea kuongezeka mivutano ya kisiasa na kijeshi katika eneo, umeipelekea Russia kuwasilisha mpango wa usalama wa eneo hili la kistratijia kwa Umoja wa Mataifa.

  • Heiko Maas asisitiza udharura wa kufanya mazungumzo na Iran

    Heiko Maas asisitiza udharura wa kufanya mazungumzo na Iran

    Jul 27, 2019 02:32

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amesisitiza kuwa kuna udharura wa kufanya mazungumzo na Iran. Maas ameyasema hayo katika mazungumzo kwa njia ya simu na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani Mike Pompeo.

  • Azma ya taifa la Iran; kutosalimu amri mbele ya maadui

    Azma ya taifa la Iran; kutosalimu amri mbele ya maadui

    Jul 26, 2019 05:38

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Sepah, amesema kuwa hakuna nguvu yoyote inayoweza kuichukulia uamuzi Iran na kwamba ulimwengu unapasa kuheshimu rasmi irada na azma ya taifa la Iran.

  • Uungaji mkono wa Lavrov kwa nafasi kuu ya Iran katika kutatua migogoro ya kieneo

    Uungaji mkono wa Lavrov kwa nafasi kuu ya Iran katika kutatua migogoro ya kieneo

    Jul 26, 2019 02:57

    Russia imeonyesha msimamo wa kuiunga mkono Iran mkabala na tuhuma za Marekani dhidi ya Iran ambazo ni chanzo cha ukosefu wa amani katika eneo la Asia Magharibi.

  • Gazeti la Marekani: Jeshi la IRGC la Iran ni jinamizi kwa Trump

    Gazeti la Marekani: Jeshi la IRGC la Iran ni jinamizi kwa Trump

    Jul 26, 2019 02:42

    Gazeti la National Interest linalochapishwa nchini Marekani limelielezea Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) kuwa ni jinamizi kubwa zaidi kwa rais wa Marekani Donald Trump.

  • Iran na Senegal zasisitiza kustawisha uhusiano baina yao

    Iran na Senegal zasisitiza kustawisha uhusiano baina yao

    Jul 25, 2019 22:31

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Rais wa Senegal wamesisitiza kustawishwa uhusiano wa pande mbili katika nyanja zote.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza: Nipo tayari kufanya mazungumzo na Iran

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza: Nipo tayari kufanya mazungumzo na Iran

    Jul 25, 2019 06:29

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza amesema kuwa yupo tayari kufanya mazungumzo na Iran.

  • Iran yapinga matamshi ya kifidhuli na kibaguzi ya Trump kuhusu taifa la Afghanistan

    Iran yapinga matamshi ya kifidhuli na kibaguzi ya Trump kuhusu taifa la Afghanistan

    Jul 24, 2019 02:48

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya nje ya Iran amelaani matamshi ya kibaguzi na kifudhuli yaliyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya taifa la Afghanistan.

  • Trump: Ni vigumu sana kufikia makubaliano na Iran

    Trump: Ni vigumu sana kufikia makubaliano na Iran

    Jul 23, 2019 00:08

    Rais Donald Trump wa Marekani ambaye baada ya nchi yake kujiondoa kwenye mapatano ya nyuklia ya JCPOA alitaka kufanyika mazungumzo mapya na Iran, ingawa hakupata jibu chanya kutoka kwa Tehran, sasa amesema kuwa kufikiwa makubaliano na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni suala gumu sana.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS