-
Jumapili, Aprili 14, 2019
Apr 13, 2019 21:55Leo ni Jumapili tarehe 8 Sha’aban 1440 Hijria, sawa na 13 Aprili 2019 Miladia.
-
Ufaransa: EU itaendelea kushirikiana na Iran licha ya tangazo la Marekani dhidi ya IRGC
Apr 13, 2019 03:37Ufaransa imesema itaendelea kushirikiana na Iran licha ya hatua ya Marekani ya kuliweka Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC katika orodha yake ya makundi ya kigaidi.
-
Huduma ya Iran kwa wakimbizi; kigezo bora cha kuigwa duniani
Apr 12, 2019 20:47Mkuu wa Ofisi ya Shirika la Kuwahudumia Wakimbizi ya Umoja wa Mataifa UNHCR akiwa safarini katika mji wa Mashhad nchini Iran amesema: "Sera za Iran za kuwahudumia wakimbizi na kuhakikisha kuwa hawana matatizo ya kimaisha na wanapata huduma za afya na elimu ni mfano wa kuigwa duniani kote"
-
Ayatullah Kermani: Marekani ni mama wa ugaidi, Trump ni mpumbavu kwa kuinasibisha IRGC na ugaidi
Apr 12, 2019 10:48Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, hatua ya Washington ya kuliweka Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC katika orodha yake ya makundi ya kigaidi ni ya kipumbavu na kwamba Marekani ndiye mama wa ugaidi duniani.
-
Iran yaziasa pande husika Sudan kujizuia, kutumia mazungumzo kupatia ufumbuzi mgogoro uliopo
Apr 12, 2019 10:36Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa haiungi mkono upande wowote katika mgogoro wa hivi sasa wa Sudan, huku ikiziasa pande husika nchini humo kujizuia na kutumia njia ya mazungumzo, amani na diplomasia kuupatia ufumbuzi mgogoro uliopo.
-
Rais Barham Salih wa Iraq: Kamwe nchi yetu haitakuwa ngome kwa ajili ya kuwaudhi majirani zetu
Apr 12, 2019 03:20Rais Barham Salih wa Iraq amesema kuwa, kamwe nchi hiyo haiwezi kukubali kugeuka kwa aina yoyote kuwa ngome ya kieneo kwa ajili ya kuziudhi nchi majirani.
-
Iran yaziambia Marekani, Israel na Saudia: Mchezo wenu umekwisha, hamuwezi tena kuhuisha genge la Daesh (ISIS)
Apr 12, 2019 00:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammad Javad Zarif, sambamba na kuashiria uungaji mkono mkubwa wa Marekani, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel pamoja na Saudi Arabia kwa makundi ya kigaidi katika eneo la Mashariki ya Kati (Asia Magharibi), amesema kuwa njama za Washington kwa ajili ya kuhuisha upya makundi ya kigaidi katika eneo hili hazitafanikiwa.
-
Ayatollah Amoli Larijani: Wananchi wa Iran wanaunga mkono jeshi la SEPAH
Apr 12, 2019 00:02Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Iran amelaani vikali hatua ya Marekani dhidi ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kusema kuwa, wananchi wa Iran wanaliunga mkono jeshi hili.
-
Amir Hatami: Hatua za Marekani zinathibitisha chuki na uadui wake dhidi ya wananchi wa Iran
Apr 11, 2019 10:14Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuliweka jina la Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH katika orodha ya makundi ya kigaidi ni ishara ya wazi ya chuki na uadui mkubwa wa Marekani dhidi ya wananchi wa Iran.
-
Rouhani: Kama si jitihada za IRGC, nchi mbili za eneo zingekuwa zinadhibitiwa na magaidi wa Daesh
Apr 10, 2019 03:34Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, iwapo Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) halingeingilia kati, basi kwa uchache mataifa mawili katika eneo hili la Asia Magharibi yangekuwa chini ya udhibiti wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS).