Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Iran; moja ya madola manne yanayoongoza katika teknolojia ya satalaiti duniani

    Iran; moja ya madola manne yanayoongoza katika teknolojia ya satalaiti duniani

    Sep 16, 2017 02:11

    Nguvu na uwezo wa kielimu sambamba na nguvu za kiulinzi na makombora ni miongoni mwa mambo muhimu yanayojenga nguvu na uwezo wa taifa lolote katika zama hizi; na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, kwa upande wake imepiga hatua nzuri katika uga wa nguvu na uwezo wa kielimu na kisayansi hususan katika teknolojia ya satalaiti.

  • Kuchanganyikiwa serikali ya Trump kuhusiana na Iran

    Kuchanganyikiwa serikali ya Trump kuhusiana na Iran

    Sep 15, 2017 08:57

    Sambamba na kutangazwa majina mapya ya raia na mashirika ya Iran ambayo yameongezwa kwenye orodha ya vikwazo ya Marekani, serikali ya nchi hiyo kwa mara nyingine tena imeakhirisha vikwazo vya nyuklia dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa siku nyingine 120.

  • Iran yatuma shehena ya kwanza ya misaada ya kibinadamu kwa ajili ya Waislamu wa Myanmar

    Iran yatuma shehena ya kwanza ya misaada ya kibinadamu kwa ajili ya Waislamu wa Myanmar

    Sep 15, 2017 03:32

    Shehena ya kwanza ya misaada ya kibinadamu ya Shirika la Hilali Nyekundu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa ajili ya kuwasaidia Waislamu Warohingya wa nchini Myanmar imesafirishwa kuelekea Bangladesh.

  • Shamkhani: Faili la kukagua vituo vya kijeshi vya Iran limeshabatilishwa

    Shamkhani: Faili la kukagua vituo vya kijeshi vya Iran limeshabatilishwa

    Sep 15, 2017 03:22

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema, mwenendo hasi na utafutaji visingizio unaofanywa na serikali ya Marekani kuhusiana na utekelezaji ahadi zake katika makubaliano ya nyuklia ya Mpango wa Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) ni njama za kutaka kuyachafua makubaliano hayo ya kimataifa.

  • Gholamali Khoshroo: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran vinakiuka makubaliano ya JCPOA

    Gholamali Khoshroo: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran vinakiuka makubaliano ya JCPOA

    Sep 14, 2017 22:57

    Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesaema kuwa, vikwazo vya aina yoyote vinakiuka msingi wa diplomasia na mazungumzo na haviwezi kusaidia chochote katika kupeleka mambo mbele.

  • Iran na Afrika Kusini kuimarisha uhusiano wao wa Kibunge

    Iran na Afrika Kusini kuimarisha uhusiano wao wa Kibunge

    Sep 12, 2017 10:30

    Hossein Amir-Abdollahian, Mkurugenzi Mkuu wa Masuala ya Kimataifa wa Bunge la Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu na Afrika Kusini zinaweza kutumia uwezo wao kuondoa vizuizi vilivyopo ili kuimarisha uhusiano wa pande mbili ukiwemo wa kibunge.

  • Kikao cha Bodi ya Magavana wa IAEA, Majukumu na Matarajio

    Kikao cha Bodi ya Magavana wa IAEA, Majukumu na Matarajio

    Sep 12, 2017 02:38

    Kikao cha Bodi ya Magavana wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA kilifanyika jana Jumatatu katika makao makuu ya wakala huo mjini Vienna, Austria.

  • Madai ya uhusiano wa nyuklia wa Iran na Korea Kaskazini; kelele mpya kuhusu shughuli za nyuklia za Iran

    Madai ya uhusiano wa nyuklia wa Iran na Korea Kaskazini; kelele mpya kuhusu shughuli za nyuklia za Iran

    Sep 11, 2017 06:56

    Afisa mmoja wa serikali ya Uingereza amedia kuwa Iran imeisaidia Korea Kaskazini kuimarisha uwezo wake wa silaha za nyuklia.

  • Marais Rouhani na Erdogan wafanya kikao kabla ya kuanza kongamano la OIC

    Marais Rouhani na Erdogan wafanya kikao kabla ya kuanza kongamano la OIC

    Sep 09, 2017 23:45

    Marais Hassan Rouhani wa Iran na Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki wamekutana na kufanya mazungumzo katika mji mku wa Kazakhstan, Astana, kabla ya kuanza Kongamano la viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC); na wawili hao wametoa mwito wa kuimarishwa ushirikiano wa pande mbili kati ya Tehran na Ankara.

  • Mazungumzo ya Trump na Waarabu kwa kutumia kionjo cha

    Mazungumzo ya Trump na Waarabu kwa kutumia kionjo cha "uenezaji hofu kuhusu Iran"

    Sep 09, 2017 12:04

    Safari ya Mfalme wa Kuwait Sheikh Sabah Al-Ahmad Al-Jabir As-Sabah mjini Washington sambamba na juhudi za Rais Donald Trump wa Marekani za kutatua mgogoro baina ya Waarabu vimetumiwa kuwa kisingizio cha kumpa fursa tena Trump ya kutumia kionjo cha 'uenezaji hofu kuhusu Iran' ili kufanikisha malengo yake katika Mashariki ya Kati.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS