Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Mazungumzo ya Trump na Waarabu kwa kutumia kionjo cha

    Mazungumzo ya Trump na Waarabu kwa kutumia kionjo cha "uenezaji hofu kuhusu Iran"

    Sep 09, 2017 12:04

    Safari ya Mfalme wa Kuwait Sheikh Sabah Al-Ahmad Al-Jabir As-Sabah mjini Washington sambamba na juhudi za Rais Donald Trump wa Marekani za kutatua mgogoro baina ya Waarabu vimetumiwa kuwa kisingizio cha kumpa fursa tena Trump ya kutumia kionjo cha 'uenezaji hofu kuhusu Iran' ili kufanikisha malengo yake katika Mashariki ya Kati.

  • Mauaji ya kimbari ya Waislamu wa Myanmar

    Mauaji ya kimbari ya Waislamu wa Myanmar

    Sep 08, 2017 12:46

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekemea tena mauaji ya kimbari yanayofanyika nchini Myanmar dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya na kusema kuwa: Jamii ya Kimataifa inapaswa kuchukua hatua haraka bila ya kucheleza zaidi.

  • Iran: Jamii ya kimataifa ikomeshe mauaji ya Waislamu wa Myanmar

    Iran: Jamii ya kimataifa ikomeshe mauaji ya Waislamu wa Myanmar

    Sep 08, 2017 00:00

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaka jamii ya kimataifa kuchukua hatua za kivitendo za kukomesha uangamizaji wa kizazi wanayofanyiwa Waislamu wa kabila la Rohingya na mabudha wa Myanmar.

  • Misaada ya Iran kwa Waislamu wa Rohinghya iko tayari kutumwa

    Misaada ya Iran kwa Waislamu wa Rohinghya iko tayari kutumwa

    Sep 07, 2017 23:51

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa misaada ya Jamhuri ya Kiislamu kwa Waislamu wa Rohingya huko Myanmar iko tayari kutumwa na kwamba Tehran inafanya juhudi za kuhakikisha misaada hiyo inawafikia Waislamu hao wanaonyanyaswa na kudhulumiwa kinyama.

  • Hilali Nyekundu ya Iran kutuma misaada kwa Waislamu wa Rohingya

    Hilali Nyekundu ya Iran kutuma misaada kwa Waislamu wa Rohingya

    Sep 07, 2017 10:03

    Shirika la Hilali Nyekundu la Jamhuri ya Kiislamau ya Iran limesema limeandaa misaada ya kibinadamu kwa ajili ya Waislamu wa kabila la Rohingya nchini Myanmar.

  • Iran: Mataifa yote yanapaswa kuzuia kutokea maafa ya kibinadamu Myanmar

    Iran: Mataifa yote yanapaswa kuzuia kutokea maafa ya kibinadamu Myanmar

    Sep 07, 2017 00:08

    Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ameelezea wasiwasi mkubwa alionao kutokana na hali mbaya na ya kusikitisha wanayokabiliwa nayo Waislamu wa Myanmar na kuelezea juu ya kuundwa kundi ma mawasiliano la nchi za Kiislamu katika siku za usoni.

  • Rais Rouhani: Iran inataka kuwepo amani Mashariki ya Kati, Peninsula ya Korea na Asia

    Rais Rouhani: Iran inataka kuwepo amani Mashariki ya Kati, Peninsula ya Korea na Asia

    Sep 06, 2017 11:42

    Rais Hassan Rouhani amesema amani ya bara la Asia hususan Peninsula ya Korea na eneo la Mashariki ya Kati vina umuhimu kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Kamanda wa jeshi la Syria, asema Iran, Syria na Hizbullah hazitashindwa kufelisha njama za adui

    Kamanda wa jeshi la Syria, asema Iran, Syria na Hizbullah hazitashindwa kufelisha njama za adui

    Sep 06, 2017 00:00

    Kamanda wa kikosi cha 104 cha gadi ya rais wa Syria amesema kuwa, harakati ya muqawama inayoundwa na Iran, Syria na Hizullah ya Lebanon, kamwe haitoshindwa, bali pande zote zilizokula njama dhidi ya Syria ndizo zitashindwa na kufeli.

  • Ushirikiano wa Iran na Zimbabwe katika mapambano dhidi ya mabeberu ni mfano wa kuigwa

    Ushirikiano wa Iran na Zimbabwe katika mapambano dhidi ya mabeberu ni mfano wa kuigwa

    Sep 05, 2017 09:42

    Mshauri maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, amesema muqawama au mapambano ya watu wa Iran na Zimbabwe dhidi ya madola ya kibeberu ni mfano wa kuigwa na wapigania uhuru kote duniani.

  • Saudia yalegeza misimamo ya chuki; yapiga marufuku vyombo vyake vya habari kuishambulia Iran

    Saudia yalegeza misimamo ya chuki; yapiga marufuku vyombo vyake vya habari kuishambulia Iran

    Sep 04, 2017 23:00

    Gazeti la Raýul-Yaum limezinukuu duru za ngazi za juu za utawala wa Saudi Arabia na kuandika kuwa Baraza la Ufalme wa Aal Saud limetoa amri kwa magazeti na kanali za televisheni za nchi hiyo ziache kuishambulia Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS