-
Iran yapinga ripoti ya Asma Jahangir Kuhusu Haki za Binadamu Nchini
Sep 04, 2017 03:19Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: ''Ripoti mpya ya Asma Jahangir, mkaguzi maalumu wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kuhusu Iran, imetolewa kwa malengo machafu ya kisiasa na ya kimapendeleo na hivyo Iran haikubali hata kidogo ripoti hiyo."
-
Ulimwengu wa Michezo, Sep 4
Sep 04, 2017 01:50Huu ni mkusayiko wa baadhi ya matukio muhimu ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita.....
-
Iran kuzidisha himaya na uungaji mkono kwa harakati za muqawama
Sep 03, 2017 02:51Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa hili litaendelea kuyapa himaya na kuyaunga mkono makundi ya wanaharakati wa muqawama licha ya madola ya Magharibi kuitaka Tehran isiyaunge mkono makundi hayo.
-
Mtazamo maalumu wa Iran kuhusu bara la Afrika
Sep 03, 2017 01:30Katika mazungumzo yake na Spika wa Bunge la Afrika Kusini, Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran inalipa umuhimu mkubwa suala la kuimarisha uhusiano wake na nchi zote za Afrika.
-
Rais Rouhani: Iran imekusudia kuimarisha uhusiano wa pande zote na Afrika Kusini
Sep 02, 2017 10:45Rais Hassan Rouhani amesema Iran imekusudia kuimarisha uhusiano wa pande zote na nchi za Kiafrika hususan Afrika Kusini.
-
Iran yaipongeza IAEA kwa kupuuza mashinikizo ya US dhidi yake
Sep 02, 2017 03:09Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imepongeza msimamo wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA wa kutoa ripoti isiyoegemea upande wowote sambamba na kupuza mashinikizo ya Marekani ya kuutaka ukague vituo vya kijeshi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Lebanon yakanusha madai ya kuwepo viwanda vya makombora vya Iran nchini humo
Sep 02, 2017 03:01Waziri Mkuu wa Lebanon amekadhibisha madai yaliyotolewa na utawala wa Kizayuni wa Israel kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inatengeneza viwanda vya kuzalisha makombora katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Usalama Iran unatokana na umoja wa Mashia na Masuni
Sep 01, 2017 21:58Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu Iran amesema usalama uliopo hivi sasa nchini umetokana na umoja na mshikamano uliopo baina ya Waislamu wa madhehebu za Shia na Suni.
-
IAEA: Iran imetekeleza majukumu yake yote kuhusu JCPOA
Aug 31, 2017 22:58Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) umetoa ripoti yake ya msimu ukisisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetekeleza majukumu yake yote kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
IAEA: Hatutakubali mashinikizo ya US ya kukagua vituo vya kijeshi vya Iran
Aug 31, 2017 09:34Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA umeeleza kushangazwa kwake na mashinikizo ya Marekani ya kuutaka ukague vituo vya kijeshi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusisitiza kuwa hauoni dharura au haja ya kufanya ukaguzi huo.